Bandari ya Tanga imekusanya bilioni 96 ndani ya miezi mitano ambapo bilioni 38.53 zilikusanywa na Bandari ya Tanga na bilioni 57 zimekusanywa na Mamla

Bandari ya Tanga imekusanya bilioni 96 ndani ya miezi mitano ambapo bilioni 38.53 zilikusanywa na Bandari ya Tanga na bilioni 57 zimekusanywa na Mamla

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Bandari ya Tanga imekusanya bilioni 96 ndani ya miezi mitano ambapo bilioni 38.53 zilikusanywa na Bandari ya Tanga na bilioni 57 zimekusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Tanga.

Wakati huohuo Bandari ya Tanga imefanikiwa kuhudumia meli 172 ikiwa ni zaidi ya lengo la kuhudumia meli 90 kwa miezi mitano.

Hayo ni matokeo ya uboreshaji wa miundombinu ya bandari hiyo uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, uliogharimu shilingi bilioni 429.1 katika kuboresha magati mawili yenye urefu wa mita 450 pamoja na ununuzi wa vifaa vya kuhudumia mizigo ya wateja.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
 

Attachments

  • VID-20241229-WA0052.mp4
    28.2 MB
Upakuaji wa mizigo upo kasi sana, watu wachangamkie fursa ya kujenga bandari kavu za kutunza magari na mizigo ya kichele kama mbolea na sulphur za migodini
 
Back
Top Bottom