Hili la Bandari, kuna watu wameamini ni vita ya kidini na wengine labda ubaguzi. Je, Umewahi kusikia mwafrika mweusi akiingia U-arabu? Yaani akafanya sherehe na kutangazwa rasmi kwamba leo kawa mwarabu?
Yawezekana wa-Tangayika wengi wanaifahamu Z'bar ya pale mjini na hisia za wanasiasa kuwapiga vita waarabu kwa mapinduzi yao, na akina JK kumpiga vita Salim kwamba ni Hizbu! Lakini ukweli ni kwamba Wa-Zanzibari wengi wana udhaifu mkubwa kwa waarabu.
Hadi miaka ya 1980s nikliwa naishi Z'Bar Nilikuwa nashuhudia sherehe za waafrika wenzangu weusi kuingia Uarabu. Kigezo kikubwa ikiwa ni uwezo wa kifedha na hatimaye mtu anafanya sherehe ya kuwa mwarabu, bila kujali rangi ya ngozi yake.
Katika hali hiyo, Sioni ajabu Mtu aliyekulia mazingira ya aina hiyo, leo hii akijipeleka kutafuta urafiki na waarabu , na kufanya lolote la kushangaza raia wa nchi yake. Ilitokea Mwinyi (m-Zanzibari) akiwa rais, akauza Loliondo kwa waarabu. Amekuja Samia (m-Zanzibari) anauza Bandari kwa waarabu. Tunaoelewa tabia hii hatuoni ajabu. Sielewi kwa nini wanunuaji (waarabu) pia wanakuja mara wanapoona m-Zanzibari ni rais!