Bandari zetu; Nasikilizia lakini nauona udhaifu kwa wa-Zanzibari kwa waarabu

..sasa hivi Wazanzibar ndio wameshika mpini.

..Amiri Jeshi Mkuu anatokea Zanzibar.

..kwa hiyo tunamtaka Samia Suluhu aturudishie TANGANYIKA yetu.
 
Ukweli wewe ndo mjinga! Hizo nchi ulizozitaja zina mkataba wa kitumwa kama huu uliotengenezwa na MZ'bari? Rais wa nchi anaweza kupitisha mkataba wa kizembe kama huo kama siyo uaminifu wa kitumwa kwa waarabu?
 
Mjinga ni wewe unayeongea kitu usichokijua. Mkataba ndio umesainiwa na utadumu mpaka 2053 huku ukipitiwa ufanisi wa mwekezaji kila baada ya miaka mitano.

Jitahidi utafute maarifa makubwa kuhusu masuala ya mikataba ili yakuongezee kitu fulani kichwani.
 
sherehe za waafrika wenzangu weusi kuingia Uarabu. Kigezo kikubwa ikiwa ni uwezo wa kifedha na hatimaye mtu anafanya sherehe ya kuwa mwarabu, bila kujali rangi ya ngozi yake.
Duh, aisee!
Kwa hiyo Mzanzibari kwa mwarabu ni kama mnyama pendwa kwa chatu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…