Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #61
BREAKING: Maandalizi yanaendelea Ngorongoro kwa sasa. Maafisa wa usalama wengi wamemwagwa. Wamo pia watu wanaosadikiwa kuwa ni wanajeshi wa kiarabu wanaofanya maandalizi ya kuja kwa mfalme wa Dubai. Samia anakuja kukutana na DP World Loliondo. #TanzaniaLeaks