Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
70K hiyo ni pamoja na dakika au data pekee yake?tafuta ttcl uki pata ni 70k per month ila nayo iko poa, ninayo kijiweni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
70K hiyo ni pamoja na dakika au data pekee yake?tafuta ttcl uki pata ni 70k per month ila nayo iko poa, ninayo kijiweni.
TTCL UKIIWEKA KWENYE OFISI YAKO KWA KIFURISHI CHA 55, 000/- KWA MATUMIZI YETU YA 4M/S inatosha kabisaaaaSpeed yao ni nzuri lakini au miyeyusho?
Nunua WiFiWadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh 🙌🏾 adi kero
We jamaa si unatumia rooter wewe??Tumia unlimited mkuu
Ndio ya Airtel na ni unlimitedWe jamaa si unatumia rooter wewe??
Wewe kila router unayo huko nanjilinjitafuta ttcl uki pata ni 70k per month ila nayo iko poa, ninayo kijiweni.
Ya shingapiNdio ya Airtel na ni unlimited
Ndio ya Airtel na ni unlimited
Nakuja pm. Mkuu unishauri KITUNdio ya Airtel na ni unlimited
Wanatoa bure mara ya kwanza lazima ulipie laki Moja na 10 miezi inayofuata utalipia elfu sabini mkuuYa shingapi
Njoo bosiNakuja pm. Mkuu unishauri KITU
Dkk zote hizo? Nimewaza wee ni muongeaji sana. Lol
Ninazo mbili voda na ttcl mkuu, kwani ni kinyume cha sheria za jf?Wewe kila router unayo huko nanjilinji
Nikajua huko nanjilinji ni porini mnoooooooooooooooNinazo mbili voda na ttcl mkuu, kwani ni kinyume cha sheria za jf?
karibu Sana mkuu, mimi sio Kama nusu albino Half americanNikajua huko nanjilinji ni porini mnooooooooooooooo
Mimi wapi kenge wewkaribu Sana mkuu, mimi sio Kama nusu albino Half american
Usije ukanizimia simu nikabaki nashangaa shangaa kwenye mapori huko mwishowe niwe attacked na mbwehaaakaribu Sana mkuu, mimi sio Kama nusu albino Half american
usijali Nita kupokea, ili usije bakwa na nyaniUsije ukanizimia simu nikabaki nashangaa shangaa kwenye mapori huko mwishowe niwe attacked na mbwehaaa
rasiiiiMimi wapi kenge wew