Bangi haina madhara yoyote kama tunavyoaminishwa, iruhusiwe

Bangi gani hiyo isiyo na madhara? Sasa bangi ikiruhusiwa si vijana wengi watakuwa vichaa? Wavuta bangi humu wapo wanajua jinsi bangi inavyozingua ukiivuta
 
Bangi/weed/marijuana/cannabas/ganja/msuba/nkonde/kushabo/jani ikiruhusiwa kulimwa na mirungi nayo itatakiwa ilimwe kwa kuwa nayo ina hela. Maulevi yote yatataka yawe free
 
BANGI INAONGEA....
 
Bangi ni jani Mungu ameliumba kwa ajili ya watu wake( wenye kuimili) oxygen iko kila mahali bure na salama wasioweza wawekeze nguvu zao huko.
 
Bangi ina faida na hasara!
Kama Serikali inaweza kusimamia matumizi salama ya Mmea huo si vibaya ikiruhusu kuzalishwa zao hilo katika nchi yetu.
 
Bandi nyingi za bongo zimechakachuliwa, ukijichanganya unakua chizi kweli.
 
Wanavuta bangi chafu
 
nenda kaongee na dr mkuu wa milembe mkuu!!
 
MAWEED nisipoona koment yako hapa basi huu uzi ni batilii kabisaa🫡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…