Bangi hutumia muda gani kutoka kwenye akili?

Bangi hutumia muda gani kutoka kwenye akili?

Nakumbuka kazi yangu ya kwanza ilikua ya kufikirisha sana, na sikua na experience kiviile mana ndio nilikua natoka chuo, waliniita muwasibu mtoto.
Sasa kila mwisho wa mwezi ilitakiwa nifanye meeting nikielezea financial report za mwezi husika, ma pl, ma cashflow, ma company budget, mavitu mengimengi tu ya kufikirisha. Kumbuka makikao yalikua na management yaan hadi director wakampuni sometimes anakuaga.
Huwezi kuamini. Mmea ulikua unaniokoa sana. Ulikua unaniwekea confidence ya hali ya juu.
Yaani si kwamba mareport yalikua sawa. ila maboss walikua wananikubali kichizi kwani nilikua naweza kutetea hata kipengele cha uongo!
Yaani nilikua kama kesho ndio kikao mimi nitalipuka usiku mzima afu kesho yake sasa!
Ila sasa nimeachana na hayo mambo.
 
Back
Top Bottom