Bangi ihalalishwe, Sheria zinazotumika kuhusu Bangi. Ziende kudhibiti Ushoga

Iruhusiwe bangi, pombe ipigwe ban.

pombe ina madhara kuliko bangi na inaua sana.

kuhusu ushoga, tupate kwanza chanzo cha tatizo lasivyo ni kazi bure
Kuna mitazamo mingi kuhusu chanzo cha ushoga, lakini kwa mujibu wa watafiti wa kisayansi, hakuna ushahidi wa kisayansi unaounga mkono wazo kwamba ushoga unaweza kuwa na chanzo cha kibiolojia au kisaikolojia fulani. Wataalamu wengi wanakubaliana kwamba ushoga ni ulimbukeni tu kutoka jamii moja kwenda jamii nyingine, Kwa hiyo sheria zikifuata mkondo wake hili tatizo litaisha kwa kiwango kikubwa.

. Bangi pamoja na Pombe ziendelee kutumika kama kawaida.
 
njoo inbox bas mtoto mzuri
 
The best thread ever presented in the forum since the iconic JF social media started.

A nation will never ever prosper without the use of marijuana. Even the Palestinians if they want freedom all of them should seek weed smoking.

Legalise it NOW!

adriz
 
"You're very welcome. By reading my proposal, there are certain issues we've completely ignored, especially homosexuality. Neither the government nor community centers address it. Perhaps we fear not receiving foreign aid, similar to what happened to Yoeri Seven."
 
Wataalamu Wasema Bangi Haina Madhara
By T L January 15, 2024
NA MERCY CHELANGAT

MAMLAKA ya Kusimamia Vyakula na Dawa (FDA) imependekeza bangi kuorodheshwa upya kama dawa yenye kiwango cha chini cha madhara.

Hii ni baada ya wanasayansi kubaini kwamba bangi ina uwezo wa chini kutumiwa vibaya ikilinganishwa na dawa zingine za kulevya kama vile heroni.

Utafiti huo wa FDA, kamili kwa Kiingereza kama Food and Drug Administration, pia ulionyesha kuwa bangi ina kiwango cha chini kusababisha uzoefu kwa watumiaji wake.

FDA ni shirika lililoko chini ya Wizara ya Afya na Huduma kwa Binadamu, nchini Amerika.

Kwa sasa bangi imeorodheshwa kama dawa ya Kitengo cha Kwanza kinachosheheni dawa zenye kiwango cha juu zaidi cha kutumiwa vibaya na uwezo wa kusababisha watumiaji wake kushindwa kujitegemea kisaikolojia, au kimwili.

Watafiti hao wanataka bangi iwekwe katika Kitengo cha Tatu kinachosheheni uzoefu wa wastani hadi wa chini kimwili na kisaikolojia.

Mifano ya dawa za Kiwango cha Tatu ni: bidhaa zenye miligramu chini ya 90 kama vile Codeine kwa kila kipimo (Tylenol na Codeine), Ketamine, Steroids za Anabolic, na Testosterone.

Utafiti wa FDA pia umeainisha kiwango cha usaidizi wa Kisayansi bangi kutumika kwa minajili ya matibabu katika hospitali na kliniki kadha Amerika.

Aidha, bangi inaaminika kupunguza maumivu, kukabiliana na kero ya kutapika na kichefuchefu kinachotokana na matibabu ya Saratani – Chemotherapy, kulingana na watafiti.

Umauzi wa ikiwa bangi itaorodheshwa katika Kiwango cha Tatu, unasalia mikononi mwa Halmashauri ya Kimikakati Inayoshughulikia Masuala ya Dawa, ndiy Drug Enforcement Administration (DEA).

Nchini Kenya, bangi ni miongoni mwa dawa za kulevya zilizopigwa marufuku; kupandwa, kuuzwa na kutumika.

 

Sioni haja ya kupiga marufuku bangi, kuna mataifa mengi tu, bangi inatumika, lakini akili zao zipo vizuri tu, bila shida,
 
Na wewe umekosa kazi kwelikweli, tafuta pesa kweye kila familia kuna mtu shoga sema tu watu wanafanya kwa siri sana. So, usiteseke waombee watoto wako wasiingie kwa hii imani,. Tumia nguvu kutetea masikini, yatima na wajane wanaodhulumiwa haki zao utakuwa unefanya jambo la maana sana mbele za Mungu. Alaf neno la Mungu linasema "USIHUKUMU USIJE UKAHUKUMIWA KWA HUKUMU HIYOHIYO"

Mara nyingi hawa wanaojidaigi wana harakati wa hizi mambo ndio wafanyaji wakubwa, wanajidai kusemasema ili jamii iwaamini kumbe ndio watu wakubwa wa mambo haya.

Hilo andiko ungeandika kwa ajili ya proposal ya kuwakomboa n kuwawasaidia watu waliopata maafa ungefanya jambo la maana sana na ulimwengu ungekutambua.

Usitumie nguvu nyingi kwenye haya mambo, muache Mungu mwenyewe ahukumu. Ukiona unaumia sana, kunywa sumu uikimbie dunia maana kila siku wanaongezeka
 
. 😢, mbona kama umekasirika mkuu, tatizo ni nini?

. Unasema niandike proposal ya maafa, kwani ushoga siyo maafa?

. Natumia nguvu kupinga ushoga kiaje?

. Au unaogopa hizo sheria sikumoja zikija kufanya kazi itakuwa tatizo upande wa jirani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…