JaxenDL
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 1,118
- 2,581
Hii inanikera sana. Lakn tutafikia huko system yetu inachelewa kuendana na mabadiliko.Tungeanzisha club yetu ila hawa majamaa hawachekeshi tutanyea debe😆
All in all we are 3rd word 😒🤦🏾♂️
Hii inanikera sana. Lakn tutafikia huko system yetu inachelewa kuendana na mabadiliko.Tungeanzisha club yetu ila hawa majamaa hawachekeshi tutanyea debe😆
Hizi Dawa sio zangu ni za Kulevya 🥹🥹.. Kuna mmoja alikua anajitetea iviInaumiza sana!View attachment 3661076
Watu wamevurugwa! Huyu mwamba hata hakukana mavuno yake, aliwaambia ni zake analima kwaajili yake ili achangamshe akili na nguvu za kufanya kazi wakamtwisha aweke kwenye defender nahisi walimuachia maana hapo wenyewe pia watazikausha waishi nazo!Hizi Dawa sio zangu ni za Kulevya 🥹🥹.. Kuna mmoja alikua anajitetea ivi
Vijana wa Lymo wako rada. 😂😂 ukiwa mvutaji/mtumiaji tu consequences yako na serikali ni ndogo sanaTutaanzisha chinichini wasituchoshe! Wao si wako busy na utekaji!
Hao wanaolima uko mashambani wanauza bei rahisi sana na wanafanya kama side hustle sio kwamba wanapata pesa sana.Watu wamevurugwa! Huyu mwamba hata hakukana mavuno yake, aliwaambia ni zake analima kwaajili yake ili achangamshe akili na nguvu za kufanya kazi wakamtwisha aweke kwenye defender nahisi walimuachia maana hapo wenyewe pia watazikausha waishi nazo!
Oyaaaa🫢Hao wanaolima uko mashambani wanauza bei rahisi sana na wanafanya kama side hustle sio kwamba wanapata pesa sana.
Kuna mahali nilienda matembezi tukafika kwenye mashamba vijijini uko. Nikapewa sado nzima kwa 30k 😂😂
Nilichambua the best nyingine nikaacha uko . Nikija Dara ntakuleteaOyaaaa🫢
Ulizibebaje sasa🙆🏽♀️
Bahati iliyoje😁
Yani nipo hapa nawaza🤔Wakati sisi bado tunaichukulia bangi kama suala la kijeshi na jinai pekee, nchi jirani zimeshaanza kubadili mwelekeo kwa faida za kiuchumi na kitabibu.
Kuna haja pia ya kuangalia ukweli huu kwa jicho la kiuchumi na sera (policy shifts) duniani na hapa ukanda wetu wa Afrika Mashariki
Hali halisi inaonyesha kuwa soko la siri (black market) bado lipo na linazidi kukua hapa nyumbani, huku tukipoteza vijana kwa kuwakamata na kuwapa rekodi za jinai badala ya kuwapa msaada wa kisaikolojia au kudhibiti ubora wa kile wanachokula/kuvuta kama nchi nyingine zinavyofanya.
- Rwanda wamesharuhusu kilimo na ujenzi wa viwanda vya kuchakata bangi ya matibabu (medicinal cannabis) kwa ajili ya soko la nje.
- Zambia, Zimbabwe, na Lesotho tayari wana sheria zinazolinda kilimo hiki kimkakati ili kuongeza pato la taifa.
- Ujerumani (Germany) mwaka 2024 walihalalisha kabisa matumizi ya burudani (recreational) kwa watu wazima ili kudhibiti soko la magendo na kupata kodi.
Maswali yangu kwa wadau wa jukwaa hili:
//hey Seran hatusizi leo 🙄😁 ?
- Je, Tanzania tunaendelea kupoteza fursa za kiuchumi kwa kuogopa kufanya mabadiliko ya sera (reforms)?
- Je, udhibiti wa kisheria na kodi (regulation) hauwezi kusaidia kupunguza yale madhara makubwa aliyoyataja Seran, kwa sababu serikali itakuwa na mamlaka ya kujua nani anatumia, wapi, na kwa kiwango gani cha ubora?
Kuna proposal na muwekezaji , kilichobaki tuiburute jamuhuri kwa Jaji NduguruYani nipo hapa nawaza🤔
Halafu watupe fursa wanatubania mno!