Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Ilikua kitambo O level uko mkuu. Ila nimekuja kuelewa kuhusu maamuzi ukubwani.

Ntawafundisha wanamngu wawe na msimamo sana.
 
nashauri DEA waache kwenda kuteketeza mashamba ya bangi ya asili uko vijijini.

Wanatengeneza scarcity kubwa ya weed. Where there’s demand there’s a business.

Hii inapelekea waleta skunk kuongeza supplier. Kwaiyo skunk inazidi kua popular saivi adi nje ya miji uko unaipata.

Naskunk inatakiwa wavute watu wenye uakika wa chakula 😁. Na inawaumiza vijana financially maana ni gharama sana
Mambo ya Gram..Sio gharama..Ila wengi fata mkumbo..Skanka ina heshima yake..
 
Mambo ya Gram..Sio gharama..Ila wengi fata mkumbo..Skanka ina heshima yake..

Assume Kila siku mtu anatumia 5k (minimum) kwaajili ya grams, hii ni kwa mikoani maana dar bei ipo chini kidogo afadhali.

Kwa kijana wa boda boda na bajaji inamuumiza
 
huwa kunakua na sababu nyingine nyuma zinapelekea mtu ziruke moja kwa moja. Ila sio bangi peke yake. Bangi ni kama catalyst tu
Mimi pia nahisi hivyo! Haiwezekani..
 
Assume Kila siku mtu anatumia 5k (minimum) kwaajili ya grams, hii ni kwa mikoani maana dar bei ipo chini kidogo afadhali.

Kwa kijana wa boda boda na bajaji inamuumiza
Hmm hapana mwanza nilikuwa napata cheaper, chuga za buku 10 zinakaa sana, huko mwezi haufiki!
 
nashauri DEA waache kwenda kuteketeza mashamba ya bangi ya asili uko vijijini.

Wanatengeneza scarcity kubwa ya weed. Where there’s demand there’s a business.

Hii inapelekea waleta skunk kuongeza supplier. Kwaiyo skunk inazidi kua popular saivi adi nje ya miji uko unaipata.

Naskunk inatakiwa wavute watu wenye uakika wa chakula 😁. Na inawaumiza vijana financially maana ni gharama sana
Inaumiza sana!
96D1D9C3-6DAA-4094-8EAB-B1BB94595F0A.jpeg
 
tupeleke shauri mahakamani. Jaji Nduguro atupe hati/kibali cha kumiliki stoku 😁🙃
Wanazingua sana hii nchi, mashamba ya bangi ni yako, ila miamba yenye dhahabu yao! Ukitekwa haujulikani ulipo ila ukilima bangi utajulikana na dunia!
 
Hmm hapana mwanza nilikuwa napata cheaper, chuga za buku 10 zinakaa sana, huko mwezi haufiki!
Skunk au cha Arusha ? Maana ni tofauti


Maana Arusha skunk ni 3k per gram street price. Dar unapata ata kwa 1k per gram
 
Wanazingua sana hii nchi, mashamba ya bangi ni yako, ila miamba yenye dhahabu yao! Ukitekwa haujulikani ulipo ila ukilima bangi utajulikana na dunia!
NNdoto zangu ni kuleta mapinduzi kwenye hii sekta. hii kitu ni treasure ndo maana mfumo unataka iwe under control.

Ila tatizo mfumo wetu haukui sasa.
 
Skunk au cha Arusha ? Maana ni tofauti


Maana Arusha skunk ni 3k per gram street price. Dar unapata ata kwa 1k per gram
Hmm serious? Naomba nitumie connection bobo aiseew😋
 
NNdoto zangu ni kuleta mapinduzi kwenye hii sekta. hii kitu ni treasure ndo maana mfumo unataka iwe under control.

Ila tatizo mfumo wetu haukui sasa.
Tungeanzisha club yetu ila hawa majamaa hawachekeshi tutanyea debe😆
 
Well said mkuu. Tuna mpango wa kuanzisha cannabinoid pharmaceutical platform.

Haya ni baadhi ya magonkwa yanayotibiwa na THC derivatives.
  • Kifafa Kibaya cha Utotoni: Ugonjwa wa Lennox-Gastaut syndrome, Dravet syndrome, na Tuberous Sclerosis Complex (hutibiwa kwa Epidiolex).
  • Kichefuchefu na Kutapika kwa Wagonjwa wa Kansa: Hasa vinavyotokana na matibabu ya kemikali (Chemotherapy).
  • Kupoteza Hamu ya Kula na Uzito: Maalum kwa wagonjwa wenye virusi vya ukimwi (HIV/AIDS).
  • Kukaza kwa Misuli (Spasticity): Inayosababishwa na ugonjwa wa neva wa Multiple Sclerosis
  • Maumivu Sugu ya Mgongo: kutibu maumivu sugu ya chini ya mgongo yenye athari za mishipa.
  • Maumivu ya Mishipa (Neuropathic Pain): Maumivu yanayotokana na neva zilizoharibika (kama Sciatica au kisukari).
  • Maumivu ya Viungo: Magonjwa kama Arthritis na Fibromyalgia.

Matatizo ya Kisaikolojia na Akili (Psychiatric Disorders)
  • Msongo wa Mawazo Baada ya Kiwewe (PTSD): Kupunguza ndoto mbaya na hofu.
  • Wasiwasi uliopitiliza (Anxiety) na Unyogovu (Depression).
  • Kukosa Usingizi Sugu (Insomnia).
  • Ugonjwa wa Tourette na Dystonia: Kupunguza mitikisiko ya mwili isiyozuilika.
Magonjwa ya Ngozi, Macho na Kinga ya Mwili
  • Ugonjwa wa Kuvimba Utumbo (Crohn's Disease & IBD)
  • Shinikizo la Jicho (Glaucoma): Kupunguza presha ya ndani ya jicho.
  • Magonjwa ya Ngozi: Kama vile chunusi sugu, ngozi kuwasha (Eczema), na ugonjwa adimu wa malengelenge (Epidermolysis bullosa). Inasaidia kuchoma mafuta kwenye damu.
Shukrani
 
Back
Top Bottom