Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

😄😄 sawa kabisa, ile pp yako unakumbuka nilikwambiya nimeipenda sana.
Washenzi walinidis sana mpaka nikaona niiondoe tu! Mtu akishinda njaa huko hasira anamalizia kwenye id yangu😂
 
Kila mtu ana kichwa chake wengine inawakataa ila wanalazimisha. Ni sawa na tumbaku, pombe, mirungi, ugoro au kahawa ikikutaaa achana nayo!
 
Ilikuwaje tueleze kidogo..
Nilipoanza kuvuta nikawa najisemea nilichelewa wp kutumia msuba kadri siku zinavyokwenda ikawa inaniathiri kuna siku tulienda na washikaji club mida ya saa tisa usiku tulirudi mimi kufika home nikapanda kitandani aiseeee najigeuza kitandani usingizi hauji mpaka kunakucha sikujua kuwa kukosa usingizi ni madhara ya bangi nikaendelea zangu kuvuta msuba basi ilikua ikifika mda wa kulala lazima nivute msuba ndyo nipate bila hvyo nakesha hadi asubuh kuna kipindi navyotaka kuacha bangi naweza kukaa siku mbili sipati usingizi yaan kulala kwangu mpaka nivute bangi na ikatokea usiku labda nimeshtuka na sina bangi basi nitakaa macho hadi kunakucha nashukuru sasa sitegemei bangi ili nilale
 
Pole sana mkuu, kwakweli haikufai kabisa, na ina vichwa vyake! Binafsi sijawahi kuona maajabu yake..
 
Hivi huwa kuna equation gani hapo kwamba ukivuta tu tayari unakuwa mbili kasorobo?
Ni ile unakuwa kwenye dimension nyingine sasa ile hali kwa watu wengi hasa wanaoanza (kuona lile wenge) ndo wanahisi ni uchizi, but zile frequency ndo stimu yenyewe. Japokuwa kuna mind zinashindwa kuendana na ile hali ndo hao wanaowehuka.
 
Duhh mbona hatari! Kumbe ndivyo inavyokuwa? Kweli kila mtu na kichwa chake!
 
Back
Top Bottom