Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Kipindi cha nyuma kidogo ukikutana na mwanamke au binti anae smoke anakua smart sana kichwani hana mambo ya ajabu kabisa ila kwasasa binti akismoke basi ni kwa vishawishi tu kuendana na muda na wakati ili asionekane yupo nyuma yake
Kabisa na kwenye hilo kundi tupo wengi sana!😕
 
Mm Sio mvutaji Bangi Ila Kuna siku juzi kati hapa nkaona em ngoja nionje, for sure sijaona kile ambacho nilitegemea kukipata kulinganisha na wengi wanavyoisema bangi.
Kwangu mm ilikuwa ya kawaida sana na siku-feel chcht kile
Pole ni either hukuvuta bangi halisi ulivuta majani tu.

Achana na kitu kinaitwa bangi stimu yake ni nxt level
 
Limekua kimbilio la vijana kwasasa likionekana kama ujana na maisha mazuri katika fikra zao alooh
Washamba wakubwa shisha ya 15k ndio maisha mazuri? Shisha haijaanza leo, basi tu ulimbukeni!
 
Skanka+Msosi hevy+Maji mengi ,karanga,Korosho,Tende,Coca...Tengenezq ratiba nzuri ufurahie mema ya Mjani
 
Basi ukienda club or lounge ikikosekana hii basi unawakosa vijana
Washamba wakubwa shisha ya 15k ndio maisha mazuri? Shisha haijaanza leo, basi tu ulimbukeni!
 

Attachments

  • Screenshot_20260606_194054_Facebook.jpg
    Screenshot_20260606_194054_Facebook.jpg
    93.9 KB · Views: 9
Basi ukienda club or lounge ikikosekana hii basi unawakosa vijana
Shisha ni mbaya sana! Nyingine wanachanganya madawa + bangi sasa wanakimbilia huko bure tu.
 
Shisha ni mbaya sana! Nyingine wanachanganya madawa + bangi sasa wanakimbilia huko bure tu.
Hufurahi wakivuta moshi ukatoleza maskioni kama gari moshi kwa tathmini tu kati ya vijana 10 basi 8 kati yao wametumia shisha
 
Hufurahi wakivuta moshi ukatoleza maskioni kama gari moshi kwa tathmini tu kati ya vijana 10 basi 8 kati yao wametumia shisha
Mimi pia nimeitumia, ila nina miaka mitatu sijaigusa tangu niyafahamu madhara yake!
 
Back
Top Bottom