Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Duhh kwahiyo alikuwa anajitungia mafirmula tu? Wamemrudisha tarime ili ajifunze au?

Kuna mtu hapo juu alisema bangi sometimes inakufanya uwe delusional, nafikiri ndio yule jamaa. Walimrudisha Tarime kwasababu kuna falimilia nyingine sheria ni kali sana, kama hutaki kusoma hawakuachi unarandaranda tu na kula ugali bure, lazima wakirudishe kijijini ukajenge taifa
 
Kabisa! Hapo nimekuelewa, na walifanya vizuri kumrudisha huko, kuna familia hata hawakuzingatii wanakupuuzia unazidi kuharibikiwa kabisa!
 
984FD5A7-000D-408C-82A8-26A9E5487106.jpeg

Mlale sasa😎🔥💚
 
Mimi nimezaliwa Dar es salaam Tandika huko. Niko na hadithi ushahidi wa kuwaambia watu.Nimepitia mambo magumu sana, urahibu ulinitesa sana mpaka Dunia yote ilinikataa. Nashukuru Mungu niko clean kwa miaka mingi sana, nikawa baba watoto wangu wamekuwa. Nana furaha sana sasa hivi, lakini kiukweli hii Dunia nimetoka nayo mbali sana
 
Pole sana mkuu

Unazidi kutupa funzo mkuu! Japo nashindwa kuelewa kama mada inavyosema! Kwanini wengine wanaitumia bila shida wanakula kishungi miaka na miaka ila wako freshy tu, Halafu wengine ndio kama hivyoo zinawapeleka mputamputa! Inakaaje hapo?

Japo kuna raia humu wamesema ubongo unatofautiana ndiomaana kuna wengine ulevi hauwezekaniki kabisa kwao. Je, ni ya kweli haya?
 
Ukiona mtu anavuta skanka inampelekesha itakua alivuta kwa ajiri ya kutuliza maumivu na mawazo ndo inaweza pelekea kufanya vitu baadae akajutia ukivuta na kuichukulia kama starehe tu uku ukijali na afya yako basi mambo yanakua burudani

NB: kijana ukiachwa achika usije kwenye skanka tusije kuonekana wote wehu tu
 
Kwa hivyo unamaanisha Marry j anaenda na upepo! Ukija na moods ndio anapita nazo?
NB: kijana ukiachwa achika usije kwenye skanka tusije kuonekana wote wehu tu
Hahahaa
 
Kwa hivyo unamaanisha Marry j anaenda na upepo! Ukija na moods ndio anaoita nazo?

Hahahaa
Tatizo la mental health wengi wanalo na kuishi nalo ila pengine hawajui ila wakianza kuvuta moshi tu ndo wanaweka kisingizio
 
Hola! 🙋🏽‍♀️
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..

View attachment 3563320

Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au sehemu za hatari hutumia ili kujituliza.. madakataria (theatre,morgue)

View attachment 3563321

Lakini kwa upande mwingine, kuna watu wanaosema bangi inaweza kusababisha uraibu (addiction), kuchanganyikiwa akili, au hata mtu “kuwa kama amerukwa na akili” hasa akitumia kupita kiasi. Wengine pia wanasema katika familia zao ni mwiko mkubwa, na mtu akianza kuitumia anaweza kuharibika kabisa.

View attachment 3563322

Maswali yangu ni:

* Kwa nini watu wengine wanaweza kuitumia bila matatizo makubwa, lakini wengine hupata madhara makubwa?

* Je, ni kweli bangi inaweza kuwa dawa au ni hatari zaidi kuliko faida zake?

* Ni mambo gani yanayofanya mtu awe katika hatari ya uraibu au matatizo ya akili?

Haya ni baadhi ya majinaa tofauti ya bangi yanayotumika:

  • Bangi
  • Weed
  • Marijuana
  • Ganja
  • Herb
  • Grass
  • Pot
  • Dope
  • Mary Jane
  • Joint (wakati imevutwa kama sigara)
  • Spliff
  • Hash / Hashish
  • Skunk
  • Kush
  • Blaze (slang ya kutumia)

View attachment 3563324
Bangi sio mchezo,huu mmea ni kiboko.
 
Tatizo la mental health wengi wanalo na kuishi nalo ila pengine hawajui ila wakianza kuvuta moshi tu ndo wanaweka kisingizio
Namimi nimehisi, au pengine wana overuse. Mtu anavuta kw asiku vishungi vi5+ lazima uwehuke!
 
Uko sahihi kabisa ukiachana na bangi ukiangazia mikoa ya kaskazini vijana wanaona kutafuna mirungi ni kwenda na wakati kwa kuwaiga wengine pasina kujua background yao

Unakuta utumiaji wa haya kwa watu ni tofauti kila mtu anatumia kulingana na uwezo wake yani unakuta anaefanya kwa starehe anasaga mrungi akimaliza anahakikisha anakunywa maziwa na maji mengi kwa wingi ili kuondoa ile wenge tofauti na wengine mtu anasaga mrungi akitema tu anakua na andas kitu kinachompelekea analala akiamka anakumbana na njaa kali haswaa uku afya yake haijali kabisa
 
Unaona sasa! Saa ingine anasubiri wakinunua hicho kifurushi wenzie ndio adandie hata pesa ya maziwa hana! Hizi starehe bila pesa utaishia kuona umerogwa!
 
Hahaha apo kwenye kudandia starehe katika pesa ya mtu vijana ndo wanapopotea na kujikuta wanaingiliwa na wazee wa fursa wanavigezo vyao
 
Unaona sasa! Saa ingine anasubiri wakinunua hicho kifurushi wenzie ndio adandie hata pesa ya maziwa hana! Hizi starehe bila pesa utaishia kuona umerogwa!
Kipindi cha nyuma kidogo ukikutana na mwanamke au binti anae smoke anakua smart sana kichwani hana mambo ya ajabu kabisa ila kwasasa binti akismoke basi ni kwa vishawishi tu kuendana na muda na wakati ili asionekane yupo nyuma yake
 
Back
Top Bottom