Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

O'level tulisoma na jamaa mmoja sio vizuri kumtaja jina kwao Ukonga kule. Yaani jinsi alivyokuwa anakokotoa mathematics utadhani ni genius kumbe bangi tu, paper ilivyokuja akapata zero. Nafikiri familia yake waliamua kumrudisha Tarime yule jamaa
Duhh kwahiyo alikuwa anajitungia maformula tu? Wamemrudisha tarime ili ajifunze au?
 
Huku kwetu tunajifukiza, tunaila kama mboga, tunaitumia kama miti shamba na kuivuta allooo....
IMG-20260807-WA0021.jpg
 
Kuna jamaa yangu flani alikua pale Mirembe miakaileeee alisema wanaitumia kama msaidizi wa mganga...😜
 
Back
Top Bottom