Hili nalo jipya!😳Kama kwenye ukoo wenu kuna historia ya baadhi ya watu kuwa na matatizo ya akili, kutumia bangi ni kama kuwasha kiberiti karibu na dumu la petroli.
Uwezekano wa kurukwa na akili ni mkubwa mno kwa sababu ya vinasaba vya ukoo.
kama kuna mbegu ya matatizo ya akili kwenye ukoo (genetics) bangi haileti ugonjwa mpya, bali inaenda kufungua mlango ambao ulikuwa umefungwa.Hili nalo jipya!😳
Kumbe kichaa hakiaanzii kwenye bangi tu kinakuwa ndani ya ukoo🫢
Hata pombe ni hivyo hivyokama kuna mbegu ya matatizo ya akili kwenye ukoo (genetics) bangi haileti ugonjwa mpya, bali inaenda kufungua mlango ambao ulikuwa umefungwa.
Kwa mtu mwingine mlango huo haupo, ndio maana anaweza kuvuta na asipate kichaa, lakini kwako ukijichanganya tu umekwisha.
Ni kitu kinachotakiwa kuzingatiwa kabla haujaamua kuanza kuvuta.
Duhh basi nimejifunza kitu! Asante🤝🏽kama kuna mbegu ya matatizo ya akili kwenye ukoo (genetics) bangi haileti ugonjwa mpya, bali inaenda kufungua mlango ambao ulikuwa umefungwa.
Kwa mtu mwingine mlango huo haupo, ndio maana anaweza kuvuta na asipate kichaa, lakini kwako ukijichanganya tu umekwisha.
Ni kitu kinachotakiwa kuzingatiwa kabla haujaamua kuanza kuvuta.
Kama kichwa chako kina ubongo wa sisimizi inakufanya kitu mbayHola! 🙋🏽♀️
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..
View attachment 3563320
Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au sehemu za hatari hutumia ili kujituliza.. madakataria (theatre,morgue)
View attachment 3563321
Lakini kwa upande mwingine, kuna watu wanaosema bangi inaweza kusababisha uraibu (addiction), kuchanganyikiwa akili, au hata mtu “kuwa kama amerukwa na akili” hasa akitumia kupita kiasi. Wengine pia wanasema katika familia zao ni mwiko mkubwa, na mtu akianza kuitumia anaweza kuharibika kabisa.
View attachment 3563322
Maswali yangu ni:
* Kwa nini watu wengine wanaweza kuitumia bila matatizo makubwa, lakini wengine hupata madhara makubwa?
* Je, ni kweli bangi inaweza kuwa dawa au ni hatari zaidi kuliko faida zake?
* Ni mambo gani yanayofanya mtu awe katika hatari ya uraibu au matatizo ya akili?
Haya ni baadhi ya majinaa tofauti ya bangi yanayotumika:
- Bangi
- Weed
- Marijuana
- Ganja
- Herb
- Grass
- Pot
- Dope
- Mary Jane
- Joint (wakati imevutwa kama sigara)
- Spliff
- Hash / Hashish
- Skunk
- Kush
- Blaze (slang ya kutumia)
View attachment 3563324
Rafk zang wa O level mmoja yupo Sober Bagamoyo. Mara ya mwisho namsalimia mwaka 2020 alinitukana matusi kama ha2juani wakati yy ndo alinifundisha kucheza PS2 enzi za Secondary...Kuna ndugu yetu 2015 alirudishwa nyumbani na rafiki zake akiwa amechanganyikiwa, tusijue tatzo nini? Tukaanza kuangaika naye mahospitalini lakini hakuna ugonjwa uliokuwa ukionekana
Alikuwa ali chakula hata wiki nzima baada ya kuugua mpaka mumlazimishe kula kwa kumkamata
Baadae tukagundua ni matumizi ya bangi ya kupitiliza, tukamuamisha mkoa na kwenda kutibiwa kwa kwa babu zake na bibi zake, alienda kutibiwa kwa dawa za asili kwao
Walifanikiwa kumtibia na akapona 2015-2016 alipona kabsa ila walitoa angalizo kuwa ikitokea akirudia tena kutumia bangi atakuwa chizi wa kuokota makopo kabsa kwani bangi hazimfai kabsa
Hii ni 2026… mwamba ni chizi kabsa wa kuokota vyakula barabarani na kula, inasikitisha sana
Nina ndugu wa aina hii pia! Alipotea miaka tukahisi ata alishakufa! Nmemuona juzi kariakoo kavaa kanzu chafu anaelekea msikitini mhh nikaona nianzishe huu uzi nijifunze jambo!Kuna ndugu yetu 2015 alirudishwa nyumbani na rafiki zake akiwa amechanganyikiwa, tusijue tatzo nini? Tukaanza kuangaika naye mahospitalini lakini hakuna ugonjwa uliokuwa ukionekana
Alikuwa ali chakula hata wiki nzima baada ya kuugua mpaka mumlazimishe kula kwa kumkamata
Baadae tukagundua ni matumizi ya bangi ya kupitiliza, tukamuamisha mkoa na kwenda kutibiwa kwa kwa babu zake na bibi zake, alienda kutibiwa kwa dawa za asili kwao
Walifanikiwa kumtibia na akapona 2015-2016 alipona kabsa ila walitoa angalizo kuwa ikitokea akirudia tena kutumia bangi atakuwa chizi wa kuokota makopo kabsa kwani bangi hazimfai kabsa
Hii ni 2026… mwamba ni chizi kabsa wa kuokota vyakula barabarani na kula, inasikitisha sana
Umeeleweka mkuu!Hii ni spirit isiyokua stable hivyo huweza kureveal kilichoko ndani kilicho jificha kwa mtumiaji, sasa ni pattern gani hutegemea na mtumiaji. Sio rahisi kuicontrol wachache huweza. Nimetumia namna ngumu kueleweka.
Nipigie 😂
Duh n nomaKuna ndugu yetu 2015 alirudishwa nyumbani na rafiki zake akiwa amechanganyikiwa, tusijue tatzo nini? Tukaanza kuangaika naye mahospitalini lakini hakuna ugonjwa uliokuwa ukionekana
Alikuwa ali chakula hata wiki nzima baada ya kuugua mpaka mumlazimishe kula kwa kumkamata
Baadae tukagundua ni matumizi ya bangi ya kupitiliza, tukamuamisha mkoa na kwenda kutibiwa kwa kwa babu zake na bibi zake, alienda kutibiwa kwa dawa za asili kwao
Walifanikiwa kumtibia na akapona 2015-2016 alipona kabsa ila walitoa angalizo kuwa ikitokea akirudia tena kutumia bangi atakuwa chizi wa kuokota makopo kabsa kwani bangi hazimfai kabsa
Hii ni 2026… mwamba ni chizi kabsa wa kuokota vyakula barabarani na kula, inasikitisha sana
Bangi yako 😂Yangu nini sasa nyooh😁
Mm Sio mvutaji Bangi Ila Kuna siku juzi kati hapa nkaona em ngoja nionje, for sure sijaona kile ambacho nilitegemea kukipata kulinganisha na wengi wanavyoisema bangi.Njoo maliziaa kipisi achana na mambo ya nyeto😆
Mbaga Jr
Ata mimi nilifeel hivyo day uno, hujajua kuitumia that’s why!Mm Sio mvutaji Bangi Ila Kuna siku juzi kati hapa nkaona em ngoja nionje, for sure sijaona kile ambacho nilitegemea kukipata kulinganisha na wengi wanavyoisema bangi.
Kwangu mm ilikuwa ya kawaida sana na siku-feel chcht kile