Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Labla kwel nna matatizo sijijui 😅Una matatizo lakini😆
Labla kwel nna matatizo sijijui 😅Una matatizo lakini😆
Ndo nataka unifundishe tena kwa ambayo unatumia wwAta mimi nilifeel hivyo day uno, hujajua kuitumia that’s why!
Tawire mkuu 😂Sawa usiwaze nataka hiyo siku uchekecheke kama fala😃
Ongeza na haya hujayataja hapoHaya ni baadhi ya majinaa tofauti ya bangi yanayotumika:
Asante.Usiandike kitu usichokijua,addiction yeyote hua inafurahiwa na mtumiaji wake,tajiri namba moja Duniani nae anapiga kijiti,kila mtu na maamuzi yake.
Nakuja nikiwa nmejiandaa vyema na ugali wa Tahadhari nitaubebaUje umeshiba kabisa! Mambo ya kutafuta ugali hayapo😃
Ushawahi kumnyonga TOM? Utapewa Murder case, hujawahi kusikia huo msemo?Phaomtom si aina ya simu ya tecno sijui😅
Basi wewe utakua sio mtumiajiKwakweli sijawahi
Ooh yeah, hio ni yenyewe kabisa naona unakianza au unakimalizia hapo? Umenyonga au umenyongewa lakini?View attachment 3571529
Yote yanawezekana labda kisheti hiki🫢
Hangover ndo mtu anakua anajisikiajeMimi mbona sipati madhara mwaka wa 12
Hii ni kitu nzuri sana ila matumizi yake ni kutumia kwa kiasi ukizidisha unapata shida
Naingia kimya kimya bila makelele😂💨