Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Wanasayansi wengi wanasema Bangi ina madhara kwa ubongo ambao haujakomaa vizuri ambao mara nyingi ni watu chini ya miaka 25, kwa wenye miaka zaidi ya hiyo haina shida ikitumika kwa kiasi.
 
Kwani kila kichaa amepata ukichaa coz ya bangi? Hata kwenye pombe wapo vichaa pia,mtu anaweza kuonekana kama kichaa anapoikosa addiction yake.
Ninajua mtu aliyeanza kipindi anasoma baadaye akawa addicted muda wote anataka kusmoke! Baadaye akaacha shule kabisa akawa anasmoke mpaka sasa yupo 30s amekuwa kama mwehu anava nguo zimeraruka anatukana watu anapigana hovyo!

Ndiomaana nimewaza sana huwa ni nini? Mbona kuna watu wako smart na wanasmoke vzr tu how comes wengine wakismoke anawehuka! Na wengine huenda mbali zaidi na kusema kuna koo haziruhusu uvutaji wa bangi!
 
Nakuonea huruma sana huyo bwana mvuta bangi ulopata achana nae endelea kutafuta wa maisha yako

Mwanaume anajitambua avuti bangi sigara wala alewi chakari akinywa pombe
Sio lazima Kila mtu utakayeji-engage naye kwenye jambo fulani muwe na mahusiano ya namna hiyo m/kiti!
There’s more to life..☺️
 
Ad hominem fallacy

issue sio kuvutia hapa tunaangalia outcome ya matumizi ya Bangi.
Wewe si umesema hakuna mvutaji anayefurahia kua mvutaji? Hiyo ndio outcome? Au umesahau hata ulichokisema? Yani mtu atumie hela yake kuinunua kisha kuivuta halafu wewe useme hafurahii kuivuta? Haya ni maajabu aisee!
 
Back
Top Bottom