Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Kwa hivyo haya mambo ya ukoo sijui kichw ani uongo mtupu?
Koo ni genetics, Kuna mambo yanawaathiri zaidi watu wa jamii au familia fulani kuliko wengine, mfano kwenye pombe genetics zina mchango mkubwa pia katika tolerance level, ndio maana unakuta wengine wanakunywa wanalewa mapema na wengine wanachelewa kulewa. Mfano Wajapan, Wachina na Wakorea hawawezi kunywa pombe kwa kiwango kikubwa sana kwa sababu hulewa mapema sana.
 
Koo ni genetics, Kuna mambo yanawaathiri zaidi watu wa jamii au familia fulani kuliko wengine, mfano kwenye pombe genetics zina mchango mkubwa pia katika tolerance level, ndio maana unakuta wengine wanakunywa wanalewa mapema na wengine wanachelewa kulewa
Oohh kumbe! kwenye kulewa mapema au kuchelewa nilifikiri ni vile unavyo consume mara kwa mara unaenda unaongeza asilimia tu kumbe tena kuna mambo ya genetics tolerance 🤔
 
Huu mmea unahitaji heshima sana
1. Kuwa makini sana na haya majani wanayouza wengi wanachanganya na vitu vingine. Kama uko nje ya mji ni bora ukaotesha mmea bustanini kwako. Au tafuta pusha mwaminifu sana
2. Usile mpepe kwa sababu ya shida au stress. Tumia kuburudisha nafsi na si vinginevyo
3. Hakikisha mazingira ulipo ni tulivu na safi usikae na wasiwasi wa polis au mgambo.
4. Puff ya kwanza puliza kwa heshima ya mitume na manabii
 
Oohh kumbe! kwenye kulewa mapema au kuchelewa nilifikiri ni vile unavyo consume mara kwa mara unaenda unaongeza asilimia tu kumbe tena kuna mambo ya genetics tolerance 🤔
Kutumia mara kwa mara pombe ni jambo mojawapo la kuongeza tolerance level lakini Kuna watu by nature tolerance level tayari Iko chini, unashangaa mtu kanywa bia mbili tu kashawehuka au kuanza kujisikia vibaya. Mfano pia Wajapan, Wachina na Wakorea hawawezi kunywa pombe kwa kiwango kikubwa sana kwa sababu hulewa mapema sana(Asian flush).
 
Back
Top Bottom