Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,002
- 16,240
Vipi addiction ya KVitu ambavyo havionjwi ni bangi na unga cocaine, heroin..nk
Addiction yake sio poa
mbususu vs Bangi vs Pombe ?
Vipi addiction ya KVitu ambavyo havionjwi ni bangi na unga cocaine, heroin..nk
Addiction yake sio poa
hawakukuvunj meno kweli maana pale chaos ni dk 0😂Clinical rotation zangu nimecheza hapo😅
Pale ni kuvunjika mbavu tuhawakukuvunj meno kweli maana pale chaos ni dk 0😂
Sasa watumiaji wengi wanaanza kuvuta chini ya hapo, inakuwaje mkuu?Wanasayansi wengi wanasema Bangi ina madhara kwa ubongo ambao haujakomaa vizuri ambao mara nyingi ni watu chini ya miaka 25, kwa wenye miaka zaidi ya hiyo Haina shida ikitumika kwa kiasi.
hii pia ni hatari maana utapata ballistic missile za kutisha Hiv,gono,UTI, hepatitis BVipi addiction ya K
hii combination ni balaAmbususu vs Bangi vs Pombe ?
Huyo atakua na matatizo yake mengine tu,Ninajua mtu aliyeanza kipindi anasoma baadaye akawa addicted muda wote anataka kusmoke! Baadaye akaacha shule kabisa akawa anasmoke mpaka sasa yupo 30s amekuwa kama mwehu anava nguo zimeraruka anatukana watu anapigana hovyo!
Ndiomaana nimewaza sana huwa ni nini? Mbona kuna watu wako smart na wanasmoke vzr tu how comes wengine wakismoke anawehuka! Na wengine huenda mbali zaidi na kusema kuna koo haziruhusu uvutaji wa bangi!
Wataalamu wanasema ukitumia sana pombe hadi daktari akakushauri uache basi unaweza tumia Weed kama starehe mbadala
hatariPale ni kuvunjika mbavu tu
Usikae wala kujihusisha na wavuta bangi babaangu mdogo alikua pusha mwananyamala hapo mm mwenywe nimeishi na masela na nilikua msela hadi 2020 nawajua hao watu very wellSio lazima Kila mtu utakayeji-engage naye kwenye jambo fulani muwe na mahusiano ya namna hiyo m/kiti!
There’s more to life..☺️
Halafu watu wanaovuta bangi sio watumiaji sana wa pombeWataalamu wanasema ukitumia sana pombe hadi daktari akakushauri uache basi unaweza tumia Weed kama starehe mbadala
Hawa wote ni ma hardcore wa shada au wanapush mzigo worldwide 😀
Hilo ndio tatizo, Bangi ikivutwa na watu wa chini ya miaka 25 inaharibu ubongo vibaya sana, ni kuwahimiza tu vijana wasubiri watakuwa na muda mwingi sana tu wa kutosha kuvuta kiafya wakivuka huo umri.Sasa watumiaji wengi wanaanza kuvuta chini ya hapo, inakuwaje mkuu?
Hakuna cha ukoo,hizo ni imani za kijinga tu,mtu kudhurika na jambo atadhurika kama binadamu na sio eti kisa katoka ukoo gani,Kwa hivyo haya mambo ya ukoo sijui kichw ani uongo mtupu?
Sawa ila mimi siongelei hao wa vichochoroni 🫢Usikae wala kujihusisha na wavuta bangi babaangu mdogo alikua pusha mwananyamala hapo mm mwenywe nimeishi na masela na nilikua msela hadi 2020 nawajua hao watu very well
Ni rahis sana au takataka kuanza kuwa mateja wa Valium na madawa ya kulevya pia hawana tomba ovyoovyo bila kinga tena mitungo, Kununua malaya ni jambo la kawaida
Mm nakushaur hata salamu usiwape na usijenge urafiki nao kivyovyote vile
Wivu mkuuUsikae wala kujihusisha na wavuta bangi babaangu mdogo alikua pusha mwananyamala hapo mm mwenywe nimeishi na masela na nilikua msela hadi 2020 nawajua hao watu very well
Ni rahis sana au takataka kuanza kuwa mateja wa Valium na madawa ya kulevya pia hawana tomba ovyoovyo bila kinga tena mitungo, Kununua malaya ni jambo la kawaida
Mm nakushaur hata salamu usiwape na usijenge urafiki nao kivyovyote vile
Pombe ina slow emotion, Bangi ina stimulate emotion 😁😁Halafu watu wanaovuta bangi sio watumiaji sana wa pombe
Duhh nimejifunza jambo jipya! Kuna kasichana tulikuwa nako chuo duhh ni balaa na nusu🤦🏽♀️Hilo ndio tatizo, Bangi ikivutwa na watu wa chini ya miaka 25 inaharibu ubongo vibaya sana, ni kuwahimiza tu vijana wasubiri watakuwa na muda mwingi sana tu wa kutosha kuvuta kiafya wakivuka huo umri.