baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Vijana wanajipa umuhimu kwenye starehe za watuAnamzidi maarifa ya ualimuš
Vijana wanajipa umuhimu kwenye starehe za watuAnamzidi maarifa ya ualimuš
naja na vitu viwili... msuba na kitambulisho.Am curious to see it now lol, kunivutisha unachelewa wapi?š
Unanichanganya zaidi mkuu, kitambulisho, sandwich??? š¤·š½āāļønaja na vitu viwili... msuba na kitambulisho.
nakuvutisha msuba afu tunareview kitambulisho, kisha nakuvutisha tena msuba wa kuondokea bye! bye!.
(kitambulisho will be sandwiched by two sessions of msuba) š¬š¬
All you gotta do is name the place, date & time. š¬
if something is sandwiched by ___Unanichanganya zaidi mkuu, kitambulisho, sandwich??? š¤·š½āāļø
The hell š¤
Wengine tulikimbia umande mkuu! Kwahiyo kitambulisho ndio nini?šif something is sandwiched by ___
it means, that something has been placed in the middle of two things. šš½
(vuta weed + review kitambulisho + vuta tena weed)
šš½ you see, hapo kitambulisho kiko sandwiched by weed na weed.
Sandwich sio lazma iwe msosi tu š„Ŗ ... Lugha ni sanaa
najua unajua, ila uliamua tu kuchangamsha gengeWengine tulikimbia umande mkuu! Kwahiyo kitambulisho ndio nini?š
kitambulisho ndo kitakachokuonesha hili jina langu la kibantuWengine tulikimbia umande mkuu! Kwahiyo kitambulisho ndio nini?š
kwanza leo umevuta ngapi? š¤I donāt know nothing plz.. just temeā
lugha ni sanaa.. mtaani huku hatudeal sana na syntax na semantics...Review idš¤ nahitaji sana kujifunza kitu!
šMweeh!š„µ
Haya.
Je unavuta nini sasa, au unavuta subra?Mimi sio mvuta bangi mkuuš¤Æ
Mkuu naipataje hiyo mashine ya kunyongea?Jamaa nimemtengeneza ndio, huyo jamaa real namtoa wapi?
Zimenyongwa na machine hizoš