Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

1759042492762.jpg
SKanKa❤️ stay high stay illegal!!
 
Bangi haina madhara, hata huyo jamaa aliyeonekana kachizika kwenye hiyo picha ni AI siyo real person.

By the way, hizo kwenye picha ya kwanza zimenyongwa vizuri sana.
 
Mvuta bangi ni mvuta bangi, ukitaka mifano hai angalia wale black wa kule USA utapata majibu

Sasa nikuulize hao wasio wa vichororon unaowasema wanajiweza kuliko wale black rappers wa USA?

Bangi ni bangi kua makini
Wewe Jay Z unamzidi nini?
 
Wewe bwana mdogo Foffana unahitajika na msihangazi huku, kuna maswali ya kujibu!

Lol 😂 hutumii je sasa we nawe? Unakosa vingi🤣 sasa imagine ujitwike hii kitu halafu uingie mzigoni, oyaa mbona ba mtu atakesha nayo🤪
Seran nilimaanisha ulivyopangilia uzi wako umepita kama Binti wa zamani 😁

Sijamaanisha kwamba Binti wa kitambo anatumia Skanka 😅
 
Bangi haina madhara, hata huyo jamaa aliyeonekana kachizika kwenye hiyo picha ni AI siyo real person.

By the way, hizo kwenye picha ya kwanza zimenyongwa vizuri sana.
Jamaa nimemtengeneza ndio, huyo jamaa real namtoa wapi?

Zimenyongwa na machine hizo😁
 
Back
Top Bottom