Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Tungeanzisha club yetu ila hawa majamaa hawachekeshi tutanyea debe😆
Hii inanikera sana. Lakn tutafikia huko system yetu inachelewa kuendana na mabadiliko.

All in all we are 3rd word 😒🤦🏾‍♂️
 
Hizi Dawa sio zangu ni za Kulevya 🥹🥹.. Kuna mmoja alikua anajitetea ivi
Watu wamevurugwa! Huyu mwamba hata hakukana mavuno yake, aliwaambia ni zake analima kwaajili yake ili achangamshe akili na nguvu za kufanya kazi wakamtwisha aweke kwenye defender nahisi walimuachia maana hapo wenyewe pia watazikausha waishi nazo!
 
Tutaanzisha chinichini wasituchoshe! Wao si wako busy na utekaji!
Vijana wa Lymo wako rada. 😂😂 ukiwa mvutaji/mtumiaji tu consequences yako na serikali ni ndogo sana
 
Watu wamevurugwa! Huyu mwamba hata hakukana mavuno yake, aliwaambia ni zake analima kwaajili yake ili achangamshe akili na nguvu za kufanya kazi wakamtwisha aweke kwenye defender nahisi walimuachia maana hapo wenyewe pia watazikausha waishi nazo!
Hao wanaolima uko mashambani wanauza bei rahisi sana na wanafanya kama side hustle sio kwamba wanapata pesa sana.

Kuna mahali nilienda matembezi tukafika kwenye mashamba vijijini uko. Nikapewa sado nzima kwa 30k 😂😂
 
Oyaaaa🫢

Ulizibebaje sasa🙆🏽‍♀️

Bahati iliyoje😁
 
Wakati sisi bado tunaichukulia bangi kama suala la kijeshi na jinai pekee, nchi jirani zimeshaanza kubadili mwelekeo kwa faida za kiuchumi na kitabibu.

Kuna haja pia ya kuangalia ukweli huu kwa jicho la kiuchumi na sera (policy shifts) duniani na hapa ukanda wetu wa Afrika Mashariki
  • Rwanda wamesharuhusu kilimo na ujenzi wa viwanda vya kuchakata bangi ya matibabu (medicinal cannabis) kwa ajili ya soko la nje.

  • Zambia, Zimbabwe, na Lesotho tayari wana sheria zinazolinda kilimo hiki kimkakati ili kuongeza pato la taifa.

  • Ujerumani (Germany) mwaka 2024 walihalalisha kabisa matumizi ya burudani (recreational) kwa watu wazima ili kudhibiti soko la magendo na kupata kodi.
Hali halisi inaonyesha kuwa soko la siri (black market) bado lipo na linazidi kukua hapa nyumbani, huku tukipoteza vijana kwa kuwakamata na kuwapa rekodi za jinai badala ya kuwapa msaada wa kisaikolojia au kudhibiti ubora wa kile wanachokula/kuvuta kama nchi nyingine zinavyofanya.

Maswali yangu kwa wadau wa jukwaa hili:

  1. Je, Tanzania tunaendelea kupoteza fursa za kiuchumi kwa kuogopa kufanya mabadiliko ya sera (reforms)?

  2. Je, udhibiti wa kisheria na kodi (regulation) hauwezi kusaidia kupunguza yale madhara makubwa aliyoyataja Seran, kwa sababu serikali itakuwa na mamlaka ya kujua nani anatumia, wapi, na kwa kiwango gani cha ubora?
//hey Seran hatusizi leo 🙄😁 ?
 
Yani nipo hapa nawaza🤔

Halafu watupe fursa wanatubania mno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…