Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Sina utaalamu, ila kaangalie Vox Explained documentary series season 1, kuna episode mule inaongelea mambo ya bangi. Kwa swali lako, kulingana na ninachokumbuka ni kuwa, bangi haina uniformity, yaani species zake kama mmea zipo nyingi na nyingi kati ya hizo ni modified kwenye namna ambazo hasijulikani kirahisi na wauzaji au watumiaji. Matokeo yake ni kuleta effect tofauti kwa watumiaji tofauti. Kuna majina ya kisayansi mule, na maelezo mazuri, kwa udadisi wako ningekushauri uiangalie ile episode (ni fupi kama dk 20 hv) itakusaidia kupata baadhi ya majibu yako na pengine kukupa sehemu nyingine za kuchunguza zaidi. Ipo Netflix (au kule kwingine)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…