Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Sina utaalamu, ila kaangalie Vox Explained documentary series season 1, kuna episode mule inaongelea mambo ya bangi. Kwa swali lako, kulingana na ninachokumbuka ni kuwa, bangi haina uniformity, yaani species zake kama mmea zipo nyingi na nyingi kati ya hizo ni modified kwenye namna ambazo hasijulikani kirahisi na wauzaji au watumiaji. Matokeo yake ni kuleta effect tofauti kwa watumiaji tofauti. Kuna majina ya kisayansi mule, na maelezo mazuri, kwa udadisi wako ningekushauri uiangalie ile episode (ni fupi kama dk 20 hv) itakusaidia kupata baadhi ya majibu yako na pengine kukupa sehemu nyingine za kuchunguza zaidi. Ipo Netflix (au kule kwingine)
Sawa mkuu, asante sana nitaiangalia!
 

Attachments

  • Screenshot_20261027-025715.png
    Screenshot_20261027-025715.png
    275.8 KB · Views: 2
U have no idea how happy I am, this melted my heart🥹🥲
AC92AC89-A5B4-47FA-BBD8-341FFC4F840A.jpeg

I smiled like crazy 🤭

with heavy gratitude 🙏🏽💚
748EA792-4FC3-4DC8-9F24-03B625EC9118.jpeg

JaxenDL umeweza 🙌🏾
 
Mi nikivuta inanipa uzingizi mtamu na sitakaki kelele na kama kuna kelele hilo eneo naondoka kimyakimya.
 
Back
Top Bottom