JaxenDL
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 1,118
- 2,581
Happy sunday .Kabisaa! Kila kona yupo ka mlinzi
Leo no session tunapumzika au unasemaje mtu wangu.
Happy sunday .Kabisaa! Kila kona yupo ka mlinzi
Leo ni mapumziko. Ngoja ni logg out apa nsije kubadilisha mawazo .Kabisa mi leo sijitikisi, ni kujjigeuza tu humu ndani!😅
Nikisikia tu iyo harufu . 🥳🥳Aah unashawushika kirahisi sana!
Mimi nipo mpaka mwisho😅
Hakika wako Real, pure, and sincere kuliko wanaojifanya wapenda chini, walokole nk.Humuoni wiz khalifa anazitungia mpaka nyimbo, kasikilize so high..
They look so Happy and so Relaxed, binafsi nikikaa na hawa watu i feel so safe! Nawafurahia🤭
Niko rada😂
Herb💫Hakika wako Real, pure, and sincere kuliko wanaojifanya wapenda chini, walokole nk.
Nilikua busy na Ballon D'OrUnalala sana nishatoa😆
Ndo nakumbuka stock imekata duh😂😂Posts kibao, kumbe ulikuwa huko! Jiandae kulala tu au unakula kishungi kwanza?
Hukuweka bwanaa... katupie diemuPosts kibao, kumbe ulikuwa huko! Jiandae kulala tu au unakula kishungi kwanza?
Hapa ni asubuhi na mapema nipo kwa sadali😎😎Woii ongea na wanao!