JaxenDL
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 1,118
- 2,581
Mtu asie na pride atajivunia nini kwenye maisha yake.Hata bakuli tu idc😂
Pride inatengenezaje mtu?
Pride inaleta Dignity, Self-Respect.
Am hight. Nsije nkaandika makala hapa. Hope you dig it .😂
Mtu asie na pride atajivunia nini kwenye maisha yake.Hata bakuli tu idc😂
Pride inatengenezaje mtu?
😆😆 you are damn so right.You are damn so high!
Usiongeze dose hapo!
Ulishindwa kuvuta bangi kuvuta bangi.Nilishindwa kuvuta bangi nikiwa chuo, Sidhani kama nitaiweza maisha yangu yote..
Bangi inaharibu sana sauti, as una mwona mtu kama Dudu baya, Rosa ree, harmonize, child Benz? Unakuwa kama gari bovu linaunguruma
Exactly … ubongo unakua na focus sana..Nakupata vzr, kishungi kinakupelekea kushusha nondo right?
😂😂 nimeshindwa nijibu nini ..Kwani we jaxen una sauti ya kukoroma?😃
Wale lazima 😆😂😂 nimeshindwa nijibu nini ..
Kama kweli kishungi kina haribu sauti. Na hakika Mwigulu atakua anapuliza mjani 🙃😁.
😁😁 unatakiwa una meditate..Basi uko vzr
Mimi huwa nakaa macho tu😆
jamaa amezua taharukiWale lazima 😆
Mimi naowajua wote wana sauti zao za asili, kuna kadem kalitutumbukiza huku kana sauti nyororo, na ni kazi ngumu! afu kapo chuga ntakupa koneksheni utaenjoy sana!
I guess niliona tu, sio njema kwangu..Ulishindwa kuvuta bangi kuvuta bangi.
Toa sababu zako binafsi kwa nini ulishindwa ?
Au hizo sauti za kukoroma ndo zimekutishia ?
Kama ni mvuta bangi, atakuwa na sauti kama ya child huyoKwani we jaxen una sauti ya kukoroma?😃
Nikukaribishe wewe😊Sawa sawa mkuu!
Karibu chamani..
Upumzike sasa..🌚✌🏽
TUko tofauti mwaya ila kwa ladies inapandisha genye vibaya mno. Mens for funHola! 🙋🏽♀️
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..
View attachment 3563320
Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au sehemu za hatari hutumia ili kujituliza.. madakataria (theatre,morgue)
View attachment 3563321
Lakini kwa upande mwingine, kuna watu wanaosema bangi inaweza kusababisha uraibu (addiction), kuchanganyikiwa akili, au hata mtu “kuwa kama amerukwa na akili” hasa akitumia kupita kiasi. Wengine pia wanasema katika familia zao ni mwiko mkubwa, na mtu akianza kuitumia anaweza kuharibika kabisa.
View attachment 3563322
Maswali yangu ni:
* Kwa nini watu wengine wanaweza kuitumia bila matatizo makubwa, lakini wengine hupata madhara makubwa?
* Je, ni kweli bangi inaweza kuwa dawa au ni hatari zaidi kuliko faida zake?
* Ni mambo gani yanayofanya mtu awe katika hatari ya uraibu au matatizo ya akili?
Haya ni baadhi ya majinaa tofauti ya bangi yanayotumika:
- Bangi
- Weed
- Marijuana
- Ganja
- Herb
- Grass
- Pot
- Dope
- Mary Jane
- Joint (wakati imevutwa kama sigara)
- Spliff
- Hash / Hashish
- Skunk
- Kush
- Blaze (slang ya kutumia)
View attachment 3563324