Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Better late than ever. Apo inatakiwa glasi ya bei mbayaa.

Inakua ya kibabe zaidi. Au unakunywa kwene chuoa moja kwa moja 😂?
Siwezi😆 na zilivunjika aisee! nikiikosa bora nitumie whiskey glass yangu au disposable 😁
 
Ni namna ubongo wako unaweza kuhimili THC,(Tetrahydrocannabinol) kama ilivyo kwa pombe na vileo vingine.

Binafsi It's been over 3 years now imetokea tu mwili wangu umekataa pombe, kila nikinywa lazima "niharibu" ila weed inanipa comfort na utimamu wa akili zaidi.

NB; Ukiona kileo chochote hakikupi matokeo chanya achana nacho, mambo mengine ni spiritual zaidi.
Safari lager ijaribu ipo poa sana Haina hang over na Wala kujihis kutapika ila 2 Castle lite ni nzuri zaidi sema haileweshi
 
Nilishindwa kuvuta bangi nikiwa chuo, Sidhani kama nitaiweza maisha yangu yote..

Bangi inaharibu sana sauti, as una mwona mtu kama Dudu baya, Rosa ree, harmonize, child Benz? Unakuwa kama gari bovu linaunguruma
 
Back
Top Bottom