Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Hola! 🙋🏽‍♀️
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..

View attachment 3563320

Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au sehemu za hatari hutumia ili kujituliza.. madakataria (theatre,morgue)

View attachment 3563321

Lakini kwa upande mwingine, kuna watu wanaosema bangi inaweza kusababisha uraibu (addiction), kuchanganyikiwa akili, au hata mtu “kuwa kama amerukwa na akili” hasa akitumia kupita kiasi. Wengine pia wanasema katika familia zao ni mwiko mkubwa, na mtu akianza kuitumia anaweza kuharibika kabisa.

View attachment 3563322

Maswali yangu ni:

* Kwa nini watu wengine wanaweza kuitumia bila matatizo makubwa, lakini wengine hupata madhara makubwa?

* Je, ni kweli bangi inaweza kuwa dawa au ni hatari zaidi kuliko faida zake?

* Ni mambo gani yanayofanya mtu awe katika hatari ya uraibu au matatizo ya akili?

Haya ni baadhi ya majinaa tofauti ya bangi yanayotumika:

  • Bangi
  • Weed
  • Marijuana
  • Ganja
  • Herb
  • Grass
  • Pot
  • Dope
  • Mary Jane
  • Joint (wakati imevutwa kama sigara)
  • Spliff
  • Hash / Hashish
  • Skunk
  • Kush
  • Blaze (slang ya kutumia)

View attachment 3563324
Screenshot_20261016_203025_Google.jpg
 
Nipo namalizia kiporo changu cha juzi! Kishungi ndio sina connection lol😅
Yaani mshkaj wang, nipo hoi najiuguza na malaria lakini, nimeona siyo kweli, zile gram zangu bado zipo, nimenyonga kitu, napiga hapa, wala siwazi kama nina dose ya malaria☺️
 

Attachments

  • 1771100351878.jpg
    1771100351878.jpg
    31.8 KB · Views: 3
Oyaa!! Umenifanya niiwaze mwangu afu leo niko shift daahh😋

Dose haiwi affected we kula kishungi tu🔥
smell kush when am roll'n up another, nikiwa lose napiga vitu vingi sana, inabid nifanye mpango nirudi job😁
 

Attachments

  • 1771100278554.jpg
    1771100278554.jpg
    90.2 KB · Views: 6
Back
Top Bottom