Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 6,610
- 13,270
Dah😂nyanya ntole
Dah😂nyanya ntole
Hii tunapata vipi mbegu...Moshi Sativa
ikijulikana kama Moshi Sativa au Elephant Stomper" au "Elephant Flattener")
Ni moja kati ya bangi chache sana duniani zilizobaki katika mfumo wake wa asili kabisa (100% Pure Sativa Landrace).
Mmea huu ulitokea na kukua kwa karne nyingi kwenye miteremko yenye rutuba ya Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania na maeneo ya mipakani mwa Kenya.
Kutokana na mwinuko wa mlima huo na mazingira ya kipekee ya kijiografia, mmea huu ulitengeneza vinasaba (DNA) imara sana ambavyo vimekuja kuwa lulu kwa wataalamu wa mbegu duniani.
Apo kale
Kabla ya Mawindo; Wawindaji wa kienyeji walikuwa wakiitumia kabla ya kwenda kuwinda wanyama wakubwa ili kuongeza umakini, stamina, na nguvu za kukimbia kwenye misitu minene.
Kazi Ngumu za Kilimo; Ilitumiwa pia kusaidia kupunguza uchovu wakati wa kufanya kazi ngumu za kilimo kwenye miteremko mikali ya milima.
Sherehe za Kimila; Ilikuwa sehemu ya tambiko na sherehe mbalimbali za kidini na kitamaduni.
Muundo wake na ukuaji
Urefu wa Kustaajabisha: Mimea hii inakua mirefu sana, mara nyingi ikivuka futi 8 hadi 10 kwenda juu, ikiwa na matawi marefu na majani membamba sana.
Muda wa Kuchanua: Inachukua muda mrefu kukua. Wakati bangi za kisasa za maabara zinachukua wiki 7-8 kuchanua, Kilimanjaro halisi inahitaji kati ya wiki 10 hadi 12 au zaidi.
Nta na Mafuta (Resin): Licha ya kuwa mmea wa mwitu, maua yake yanazalisha kiwango kikubwa sana cha trichomes (vinyweleo vidogo vinavyozalisha mafuta yenye THC).
Siri ya Kemikali na Harufu (Terpene Profile)
Kilimanjaro ina harufu ya kipekee na ya kigeni sana. Inasifika kwa kuwa na harufu kali ya limau na machungwa (sharp citrus), ikichanganyika na harufu ya miti ya mibaini (fresh pine), udongo wa kitropiki, na viungo vya ndani ya misitu. Kwenye majukwaa ya wakulima wa zamani kama vile Overgrow.com, watumiaji pia wanakubaliana kuwa aina hii hubeba ladha au harufu ya Mikaratusi (Eucalyptus).
![]()
Hey Seran weekend hii uku. Skunk Pori 😇
Yeah niliwahi kuzisikia Kanda ya ziwa wakimaanisha "Nyanya Chungu" sivyo?Unazifahamu?😅
Kwa sasa imeadimika. Lakin ipo ukitafuta vizuri ukanda huoHii tunapata vipi mbegu...
Damn. Jamuhyri haina swalia mtume 🤦🏾♂️🥹Yani ndio naona huu ujumbe baada ya kutaka kupost habari za huyu mzaziView attachment 3689351
Unakuta Bibi hana pensheni wala bima ya afya.. apo alikua anapambana aweke msosi mezaniKikubwa tu wapate mtu wanayemtaka!
Ngoja nifanye utafiti nahitaji kumiliki hata miche kadhaa maskani...Kwa sasa imeadimika. Lakin ipo ukitafuta vizuri ukanda huo
Fanya indoor kabisa fungia taa na feni.. ikikua weka molases.. aisee ukila kipande umelea kuanzia punje ya mbegu hadi kwenye karatasi …Stimu yake 🔥Ngoja nifanye utafiti nahitaji kumiliki hata miche kadhaa maskani...
Bangi iliniletea anxiety siitaki tenaHola! 🙋🏽♀️
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..
View attachment 3563320
Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au sehemu za hatari hutumia ili kujituliza.. madakataria (theatre,morgue)
View attachment 3563321
Lakini kwa upande mwingine, kuna watu wanaosema bangi inaweza kusababisha uraibu (addiction), kuchanganyikiwa akili, au hata mtu “kuwa kama amerukwa na akili” hasa akitumia kupita kiasi. Wengine pia wanasema katika familia zao ni mwiko mkubwa, na mtu akianza kuitumia anaweza kuharibika kabisa.
View attachment 3563322
Maswali yangu ni:
* Kwa nini watu wengine wanaweza kuitumia bila matatizo makubwa, lakini wengine hupata madhara makubwa?
* Je, ni kweli bangi inaweza kuwa dawa au ni hatari zaidi kuliko faida zake?
* Ni mambo gani yanayofanya mtu awe katika hatari ya uraibu au matatizo ya akili?
Haya ni baadhi ya majinaa tofauti ya bangi yanayotumika:
- Bangi
- Weed
- Marijuana
- Ganja
- Herb
- Grass
- Pot
- Dope
- Mary Jane
- Joint (wakati imevutwa kama sigara)
- Spliff
- Hash / Hashish
- Skunk
- Kush
- Blaze (slang ya kutumia)
View attachment 3563324
Heys…Heys..
Pande hizo mnasemaje?