Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Macho Kulegea 😌
Hey heyy.. mambo nini!👌🏽
3A6EFD89-3FEE-474E-B3C5-81A0858D04EF.jpeg
 
Kwanini wengine wanafurahia lakini wengine wanaishia kuteseka wanakuwa vichaa!
Njaaa njaaa njaaa wenye uhakika wa kura na maisha yao huwezi hata kuwajuwa kama wanavuta.... Angalia watu wa The Netherlands bange imeruhusiwa na kila corner kuda mgahawa wa Bangi None as Coffee shop. Watu wake ni wakaribu kushinda Europe yote.
 
Nielezee hapa kwenye njaa sijaelewa.. nani ana njaa na nani huwezi kujua kama anavuta?
 
Jamaa anasema THC inalegeza mishipa ya damu?
Ndio mkuu, kitaalamu inaitwa vasodilation.
.
Mishipa ikilegea inasababisha kushuka kwa shinikizo la damu. (Low blood pressure).

Seran hujawahi kula kitu cha moto adi mapigo ya moyo yakaanza kwenda kasi 🚨🚨😁
 
Back
Top Bottom