Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Tunamalizia viporo tulale
3643FF15-36C6-40E1-99B0-E01DEFDE703C.jpeg
sema vikibaki kipisi vinauma🥹
DEE6E4EF-2B41-4E7A-9711-6DB346854849.jpeg
cc: JaxenDL
 
Inakua kawaida ila wale wenye vichwa vyepesi ndo wanapenda kufanya hivyo.

Nicotine inasaidia kubalance mitingo. Kuna mtu akigonga bia tu lazma awashe fegi
 
Kweli kuna kipindi nilikuwa nakunywa sminorff huku ninayo kwenye vidole🙆🏽‍♀️
Inatokea mara nyingine mazoea..

Ila saivi siwezi kupiga ata race tatu kama imewekwa nyota.

Dry ina raha yake . Unawaka kama indicator 🚨
 
Back
Top Bottom