Kuna mtu anaitishia Jamuhuri uko. Wanasema bangi ndo zinamtuma ivo 😁.Hey Blaze Buddy nimeona tag ninajibu sioni uzi, sema nini thats never gonna happen!
Tusije kuwaka tukaipindua jamuhuri 😁.Bangi inasingiziwa mengi wakati sirini wao pia wanaipenda na kuitumia katika kazi zao😎
Stoku mtu wangu.. am out of stock.Aah wapi sidhani kama wanaiongoza bila kuonja chochote!
Huelewi nini tena mwanangu? Saa 5 hii unataka kufanyaje😂
Nipo sehemu tofauti . Niliyobeba imekata. Yote.Pole aisee, si juiz tu umetoka kuniambia unayo ya kutosha utanitumia nusu yabutari, mbina tena hauna akiba?🫢
Kila mtu na vipengele vyake...Ninajua mtu aliyeanza kipindi anasoma baadaye akawa addicted muda wote anataka kusmoke! Baadaye akaacha shule kabisa akawa anasmoke mpaka sasa yupo 30s amekuwa kama mwehu anava nguo zimeraruka anatukana watu anapigana hovyo!
Ndiomaana nimewaza sana huwa ni nini? Mbona kuna watu wako smart na wanasmoke vzr tu how comes wengine wakismoke anawehuka! Na wengine huenda mbali zaidi na kusema kuna koo haziruhusu uvutaji wa bangi!
Unapiga sessions kila siku mkuu, au ni ile mara moja moja ?Kila mtu na vipengele vyake...
Binafsi sijawahi kupata changamoto yeyote ya kunifanya nikafikiria kuacha kutumia.
😂😂 hapana mkuu ninachojua mimi, Usitumie bangi kwa shinikizo lolote lile. Mfano mtu anayelewa kwa kukosa/kufukuzwa kazi ama ugomvi na mke wake.. Lazima awe mlevi kupindukia na kuchizika kwa wakati mmoja....Vipengele vipi hivyo mkuu na sisi tujifunze tuko kwenye vipengele gani so far..
Safi! kumbe machizi wengi kuna sababu hapo nyuma! Wacha tule starehe🤸🏽♂️😂😂 hapana mkuu ninachojua mimi, Usitumie bangi kwa shinikizo lolote lile. Mfano mtu anayelewa kwa kukosa/kufukuzwa kazi ama ugomvi na mke wake.. Lazima awe mlevi kupindukia na kuchizika kwa wakati mmoja....
Itumie kwa dawa ama starehe..
Hapa tu macho yangu hayafai sasa ukiongeza na hizo mambo🙌🏾Je wajua ?
THC huongeza mapigo ya moyo huku ikilegeza mishipa ya damu, hali hii ndiyo husababisha macho kuwa mekundu.
Mwanangu Seran ,, red eyes ukichanganya na ile vibe ya kurembua kidogo unaweza sema mtu anakata moto 😂
View attachment 3684231