Wakianzisha unitag ,, nije kushare experience.Ni muda sasa watumia ugolo kuanzisha nyuzi
Napiga ila nikiwa nyumbani mda wote nawashaUkirudi job haugusi vitu😁
Aisee hii pic inanivuruga zaidi🥹
Kama ni marasta wale typical waamini wa dini ya rasta, inawezekana kwasababu wale wanafahamu rituals za ule mmea, ila kama maniga tu ambao wanapiga weed labda watakuwa wanameditate.Nilikutana na maras fulani wakaniambia wanavuta alafu wanapata maono sikuweza kumwamini kwa haraka
Pia wavuta marijuana wengi hawasumbuli sana na magonjwa bado utafiti unaendelea kuhusu hilo
Interesting 🤩In 2008, archaeologists in the Gobi Desert unearthed a 2,700-year-old grave containing nearly two pounds of cannabis that was still green, preserved by the dry desert climate.
Bangi imekua ikitumika tangu kale.
Seran let hunt down this stash. Itakua ya moto 🔥
stash ikikaa muda mtefu, under a certain condition (like temperature 🤒). Concetrayion inaongezeka. Same as wine.Interesting 🤩
Usiniambie kumekucha!😅
wine yako enyewe inazidi kua tamu. Naimezea mate apa .😁😇Kumbe!! Hii ni nzuri sana..
Aww I really wish 😊
hii inazidi kuchachuka vizuri.Wine ikichachuka zaidi inanoga si mchezo! Unaimezea mate bila kuigusa?