Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Yaani madogo kabisa walikua wanaenda shule wananisalimia brother Sasa nikasafiri kurudi najuta madogo wamezeeka ghafla eti kisa kuvuta bangi na pombe Kali aisee hii nashindwa kuelewa yaani nimepiga nao picha
Mimi naonekana dogo wenyewe kama wazee halafu miaka Yao 17 mwisho 25 lakini wamezeeka kama wazee aisee ccm mumeua ndoto za vijana Kila mda wanatamka neno 45 atuchekeshi wakati sura zao zinachekesha
Mimi naonekana dogo wenyewe kama wazee halafu miaka Yao 17 mwisho 25 lakini wamezeeka kama wazee aisee ccm mumeua ndoto za vijana Kila mda wanatamka neno 45 atuchekeshi wakati sura zao zinachekesha