coscated
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 4,794
- 5,411
Hawafai tena UVCCM labda jumuia ya wazazi 😁😁Sio kweli mzee watu wamezeeka ghafla tena ni kundi Hilo tu la bangi na pombe Kali yaani majanja wamezeeka ghafla aisee ccm
Hawafai tena UVCCM labda jumuia ya wazazi 😁😁Sio kweli mzee watu wamezeeka ghafla tena ni kundi Hilo tu la bangi na pombe Kali yaani majanja wamezeeka ghafla aisee ccm
Sina ✅️Nenda kammassage ba mtu basi, usimalize nguvu zote
Hivi nguvu nazimalizaje😅Nenda kammassage ba mtu basi, usimalize nguvu zote
🙌🙌🙌🙌🤸Sina ✅️
Kwa niaba yake sisi wengine ni ma jobless tuvumilieniWewe mwanetu daily ni kutupa story za mitaa yako unakoishi na ulikokulia hivi kazi unafanya lakini ?
Kichwa kipo masaa front cha moto kina print kireeee. Haina ngoriHivi nguvu nazimalizaje😅
Huyo ba mtu siku akiwepo
Utajua tu maana huu upanga naokatia kotekote nitauelekeza kwake
Baby kalale ujiandae kesho asubuhi na mapema unipokee hapo vingunguti nitakuwa nimechoka na vibaka maana wanatupeleka mputa hapa keko madawa usiku huuKwa niaba yake sisi wengine ni ma jobless tuvumilieni
Au mnataka tufe kwa depression 🫥
Kabisa Kuna mmoja anaonekana kawaida yeye akija kijiweni anachukua kete anaenda kuvuta kwao ni wakishua. Yaani hataki kukaa sana ni gwala stori mbili tatu anatembeaNi kweli kabisa , mimi marafiki zangu wavuta bange na madogo wavuta bange wa mtaani sura zao zinatisha , zimekomaa na kuwa kama wazee wakati vijana wadogo.
Nadhani inachangia na kiwango Cha uvutaji na haki ya maisha . Mtu akiwa Mshua mo uhakika , hafanyi kazi ngumu na anavuta kwa kiasi anakuwa kawaida tu.
Waambie wazingatie msosi wa kutosha na muda mwingi kupumzika basi kama vinazeesha Sugu angekuwa Kibabu
Aisee sio poa mkuu kijana wa miaka 17 usoni kama mzee wa miaka 40Inategemeana na maisha ya mtu, ukienda mitaa ya wenye uwezo kama masaki wapo wavuta bange na wanywa pombe kali lakini sura zipo kawaida, Hii ni kwasababu hawana stress za maisha hasa kiuchumi, milo mitatu ya uhakika ipo, umeme na amaji vipo, pocket money elf ipo kila siku hata kama hana ajira
Ila nenda maeneo mengine hasa uswazi, vijana wana stress nyingi sana, kijana kakamua hadi degree lakini hana ajira, kila siku akirudi kwao ni kelele za unahama lini, umeleta nini, n.k. muda huo huo kashamjaza uja uzito binti wa mtaani, stress zinazidi atahudumia vipi mtoto, hapo ukinywa pombe na kuvuta bange unazeeka haraka sana
Sahihi kbsaHivyo wanavyovitumia nasisi tunavitumia pia ndio nimekwambia Wana matatizo yao mengine.
Unakuta hawapati chakula kama inavyostahili,
Hawapati maji ya kutosha,
Wanakua na msongo wa mawazo
Uzinzi uliokithikiri
Hawapati muda wa kupumzika
Hawana majukumu ya kuwafanya wawe busy.
Kwaiyo bangi na pombe Kali isisingiziwe
DuuhBangi haizeeshi mkuu,maisha yao magumu tu...
itoe bangi kwenye maisha yao halafu angalia wanabaki na nini
Usingizi natoa wap darling 🥹Baby kalale ujiandae kesho asubuhi na mapema unipokee hapo vingunguti nitakuwa nimechoka na vibaka maana wanatupeleka mputa hapa keko madawa usiku huu
Sawa alifu😎Kichwa kipo masaa front cha moto kina print kireeee. Haina ngori