Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Sio kweli mzee watu wamezeeka ghafla tena ni kundi Hilo tu la bangi na pombe Kali yaani majanja wamezeeka ghafla aisee ccmSawa wamezeeka kwa muonekano, lakini wasisingizie bangi na pombe Kali, hao watakuwa na matatizo yao mengine
Sio kweli mzee watu wamezeeka ghafla tena ni kundi Hilo tu la bangi na pombe Kali
Cheki ccm walivyo serious na maisha yetu halafu ndio uje utegemee madogo kitaa wasijipoze hata na skanka!!!Yaani madogo kabisa walikua wanaenda shule wananisalimia brother Sasa nikasafiri kurudi najuta madogo wamezeeka ghafla eti kisa kuvuta bangi na pombe Kali aisee hii nashindwa kuelewa yaani nimepiga nao picha
Mimi naonekana dogo wenyewe kama wazee halafu miaka Yao 17 mwisho 25 lakini wamezeeka kama wazee aisee ccm mumeua ndoto za vijana Kila mda wanatamka neno 45 atuchekeshi wakati sura zao zinachekesha
Waambie wazingatie msosi wa kutosha na muda mwingi kupumzika basi kama vinazeesha Sugu angekuwa KibabuYaani madogo kabisa walikua wanaenda shule wananisalimia brother Sasa nikasafiri kurudi najuta madogo wamezeeka ghafla eti kisa kuvuta bangi na pombe Kali aisee hii nashindwa kuelewa yaani nimepiga nao picha
Mimi naonekana dogo wenyewe kama wazee halafu miaka Yao 17 mwisho 25 lakini wamezeeka kama wazee aisee ccm mumeua ndoto za vijana Kila mda wanatamka neno 45 atuchekeshi wakati sura zao zinachekesha
Duuh poa mzeeHivyo wanavyovitumia nasisi tunavitumia pia ndio nimekwambia Wana matatizo yao mengine.
Unakuta hawapati chakula kama inavyostahili,
Hawapati maji ya kutosha,
Wanakua na msongo wa mawazo
Uzinzi uliokithikiri
Hawapati muda wa kupumzika
Hawana majukumu ya kuwafanya wawe busy.
Kwaiyo bangi na pombe Kali isisingiziwe
AiseeUgumu wa kupata Basic needs huo
Mkuu pumzika kidogo basi π π π πPole kwao
Pole yalo kwa mshangao
Nipmzike nini mkuu?πMkuu pumzika kidogo basi π π π π
Upanga wako unakata kila Kona ππππ utalala hoi. Bado vingineNipmzike nini mkuu?π
Upanga upo active kwa sababu hivyo vingine havipo πUpanga wako unakata kila Kona ππππ utalala hoi. Bado vingine
Nenda kammassage ba mtu basi, usimalize nguvu zoteUpanga upo active kwa sababu hivyo vingine havipo π
Nyuma ya keyboard kuna mamboπ
Ebu iyo pichaYaani madogo kabisa walikua wanaenda shule wananisalimia brother Sasa nikasafiri kurudi najuta madogo wamezeeka ghafla eti kisa kuvuta bangi na pombe Kali aisee hii nashindwa kuelewa yaani nimepiga nao picha
Mimi naonekana dogo wenyewe kama wazee halafu miaka Yao 17 mwisho 25 lakini wamezeeka kama wazee aisee ccm mumeua ndoto za vijana Kila mda wanatamka neno 45 atuchekeshi wakati sura zao zinachekesha