Bangi...


Watu pipoooooo......
 
Sijui kwa wengine but kwang me "HERB" it like a medicine, stress reliver pia ni part of relaxation pia "MEDITATION"" i can smoke even ten joint per day but remember it u hu control ur body , mind and make it think possitive,
Watu wengi wameshindwa kujikontrol na matokeo yake wengi mmnAyajua
Thus:
if u will smoke "HERB" in negative campany and inviroment then u will atract negative future/ attitude/ life style

Vise verse is true
 
Mkuu we acha tu na wanarejea ya kwenye Biblia,ngoja nikikumbuka huo mstari nitakuonesha!

Au ndio huu mkuu, nimeona mtu kauweka kule International forum...

Ezekiel 34:29 Nami nitawainulia miche iwe sifa njema, wala hawataangamizwa kwa njaa katika nchi yao tena, wala hawatachukua tena aibu ya makafiri.

Halafu pia nilishawahi kuona humu humu ndani eti wanadai Musa alikuwa anavuta Cannabis kule mlima Sinai, ule moshi wana wa Israel waliokuwa wakiuona kule mlimani ni wa Bangi...
 
Kura wangu mambo yako mukide haiko shida kura kitu roho inapenda best for meditation iko poa mwana
 
Wewe Mkuu wa chuo na Eiyer mumeifufulia wapi huu uzi???

Niliona mahali umempa mtu hii link, vipi uliijaribu kuvuta kidogo!?

Mwanzo 1:30-31

30 na chakula cha kila mnyama wa nchi, na cha kila ndege wa angani, na cha kila kitu kitambaacho juu ya nchi, chenye uhai; majani yote ya miche, ndiyo chakula chenu; ikawa hivyo.
31 Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.

Genesis 1:30-31

30 And to every beast of the earth, and to every fowl of the air, and to every thing that creepeth upon the earth, wherein there is life, I have given every green herb for meat: and it was so.

31 And God saw every thing that he had made, and, behold, it was very good. And the evening and the morning were the sixth day.

Genesis 1:30-31

30 and to every beast of the earth, and to every bird of the heavens, and to everything that creepeth upon the earth, wherein there is life, `I have given' every green herb for food: and it was so.

31 And God saw everything that he had made, and, behold, it was very good. And there was evening and there was morning, the sixth day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…