Bangi...

Bangi...

Pili, nilijifunza kuwa kuna hoja nzito na za kisayansi za kutetea matumizi ya bangi; na kwa upande mwingine wa shilingi, hoja nyingi za kupinga bangi hazina mashiko katika sayansi ya tiba.
Ndiyo maana sikushangaa pale Bunge (la chini) la Uruguay (Congress) lilipopitisha muswaada kuhalalisha bangi; na naamini Bunge la juu (Senate) pia litaafiki ifikapo Oktoba, mwaka huu.
Uruguay itakuwa imeungana na majimbo ya Washington na Colorado ya Marekani yaliyotangulia kuhalalisha bangi kama kiburudisho kwa watu wazima. Pia, majimbo 17 ya Marekani yamelegeza sheria dhidi ya bangi kwa kuruhusu kutumika kama dawa.
Msuba, hashish, hemp, marijuana, cannabis, reefer, hash, pot, sigara pori ni machache kati ya majina mbadala (a.k.a) ya mmea bangi, unaosadikika asili yake ni Asia ya Kati na umekuwa ukitumika kwa miaka kati ya 3,000 – 5,000 iliyopita.
[FONT=Verdana, Geneva, Arial, Bitstream Vera Sans, DejaVu Sans, Meiryo, Hiragino Kaku Gothic Pro, MS PGothic, Osaka, sans-serif]hii nime nukuu na kuja na hoja zangu[/FONT]

...lol msubaa...
 
YANI MDOGO MDOGO mpaka utaipenda cse haitaki makuzi,ukishavuta kula matunda utaskia raha yake,usivutie chooni au ukaituma vuta kama starehe kama unakunywa bia au soda,bangi nzuri ya river unaangalia maji ya kimimi nika achaaaaaaaaaaaaaaa

dizaini kama kafika paradise...matatizo yote yanapotea akilini...acha kabisa!
 
YANI MDOGO MDOGO mpaka utaipenda cse haitaki makuzi,ukishavuta kula matunda utaskia raha yake,usivutie chooni au ukaituma vuta kama starehe kama unakunywa bia au soda,bangi nzuri ya river unaangalia maji ya kimimi nika achaaaaaaaaaaaaaaa

Sasa hapo ndo pagumu, ntakuwa najificha wapi??? Huku kwetu hakuna hata uchochoro nyumba zimesongamana hakuna mfano!!!
 
Japokuwa Mimi sio mvutaji, ila nilifuatilia documentary ya dr Sunjay Gupta wa cnn hiyo makitu haina madhara kivile Kama tunavyo lazimishwa kuamini Ina faida nyingi kuliko hasara, ukilinganisha na sigara.
 
kuna nchi kule imeruhusu waonaje tukenda huko...
 
Habari ya long weekeend wadau...

Naulisa hiviiii.... Bangi ina madhara gani? I wish siku moja niijaribu walau pafu kadhaa. Pia nasikia haiumizi mapafu kama sigara....

Asante kwa mchango wako....

Bangi hoyeee....... :bange: :bange:

C.C. Karucee, sakapal

Ongea na mimi mzuri. Naeza nikakuunganishia mradi. Upate rolls kadhaa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom