Bangili hii ni Fashion au ni ulozi?

Bangili hii ni Fashion au ni ulozi?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Nimekutana na watu wengi sana wakiwa na hizi bangili sio wazee tu Hadi vijana.
Je huo ni ulozi? Au kujikinga na mabaya? Wanaovaa wengi ni wafanyabiashara.
images (9).jpeg


images (9).jpeg

images (8).jpeg
 
Hudhani ungepata jibu sahihi kama ungewauliza hao wote uliwaona wamezivaa??

Zinaleta utajiri, tafuta moja uvae uone utakavyokuwa mcharo.

Njoo DM nikuunganishe na jamaa anaezitoa original za kuleta utajiri. Utanipa aftatu tu ya usumbufu ila ukiwa don nitakuwa chawa wako.
 
Hudhani ungepata jibu sahihi kama ungewauliza hao wote uliwaona wamezivaa??

Zinaleta utajiri, tafuta moja uvae uone utakavyokuwa mcharo.
Nimekutana na rafiki yangu kavaa, sijamuuliza maana sipendi mtu ajisikie vibaya but hisia zangu zinaniambia labda anajikinga na wachawi/walozi kwenye biashara yake.
 
Mwili wangu haukubaliani na bidhaa yoyote ya fasion sio hayo makorokoro, cheni, saa, miwani, wallet, sio mafuta wala lotion na kofia, abadani vitu hivyo mwilini kwangu havikai kabisa
 
Back
Top Bottom