BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Pole, zipo nyingi tu hata kwa wamasai utapata lakini pia kuna maduka maalumu yanayouza vitu vya asili. Pole sana kwa matatizo.Nishatafuta sana bangili kama hizo maana Nina shida nazo kinoma, hivi Wamasai ndo wanayauza?