Bangili hii ni Fashion au ni ulozi?

Bangili hii ni Fashion au ni ulozi?

Hiyo ni silaha nzuri tu kama ukizidiwa kwenye ugomvi wa mtaani.
 
Watu wengi waliopata stroke wanavaa hizo. Au watu wenye pressure ya kupanda wanasema nasaidia kutopata stroke.

Binafsi niliwahi kuvaa kwa miezi kadhaa maana nilikuwa nishaanza kupata ganzi ya mdomo.

Angalia Google utapata majibu. Wazungu pia wanazitumia kwa watu wenye matatizo ya arthritis
Screenshot_20230312_214041_Chrome.jpg
 
Watu wengi waliopata stroke wanavaa hizo. Au watu wenye pressure ya kupanda wanasema nasaidia kutopata stroke.

Binafsi niliwahi kuvaa kwa miezi kadhaa maana nilikuwa nishaanza kupata ganzi ya mdomo.

Angalia Google utapata majibu. Wazungu pia wanazitumia kwa watu wenye matatizo ya arthritis View attachment 2547936
Aisee...
 
kwa sisi wachaga wa kibosho hiyo bangili inavaliwa badala ya kipande cha ngozi ya mbuzi wa mila/matambiko aliyechinjwa ili kuwapa mababu waliotangulia chakula wafanye mambo yaende sawa kwenye kutafuta mkate wa kila siku.
Unaaibisha wachaga wenzio.
 
Wengi wenye bangili rangi ya shaba huwa ni kwa ajili ya mambo ya kimila km tambiko, mizimu nk. Watu wa namna hiyo utakuta wamewahi kusumbuliwa na mambo ya kwao ya kiasili (Mila). Kwa hiyo kuvaa hayo ni kumsaidia mvaaji asindelee kuteswa na mambo ya kwao ya asili km mizimu nk.
Nishatafuta sana bangili kama hizo maana Nina shida nazo kinoma, hivi Wamasai ndo wanayauza?
 
Mie pia ni mvaaji ingaw yangu ni very thin.. Tofaut na hiyo/hizo.
Ninayo huu mwaka wa 7 sasa.

Haijawahi toka ktk mkono wangu wa kulia, niliinunua Mwenge, haipauki kuna muda inapoteza nuru then kuna muda inawaka yani kam nimeinunua recently.

Nilikuj kusoma articles hizi vitu zinasaidia sana.
 
Back
Top Bottom