Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
SidhaniInanogesha tendo la ndoa humwagi haraka
Huo utakua ni ulozi tu, nimekutana na rafiki yangu ni machinga nae kalivaaHata hilo, si ujaribu na wewe uwe mfanyakazi wa kwanza kuvaa bangili.
Tufungue mkuuLitendele/matendele
Nimekutana na rafiki yangu kavaa, sijamuuliza maana sipendi mtu ajisikie vibaya but hisia zangu zinaniambia labda anajikinga na wachawi/walozi kwenye biashara yake.Hudhani ungepata jibu sahihi kama ungewauliza hao wote uliwaona wamezivaa??
Zinaleta utajiri, tafuta moja uvae uone utakavyokuwa mcharo.