Bangili hii ni Fashion au ni ulozi?

Nishatafuta sana bangili kama hizo maana Nina shida nazo kinoma, hivi Wamasai ndo wanayauza?
Pole, zipo nyingi tu hata kwa wamasai utapata lakini pia kuna maduka maalumu yanayouza vitu vya asili. Pole sana kwa matatizo.
 
Aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…