mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Tako lipo laliniMtu mzima hovyo, fikra zako ni za kijinga tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tako lipo laliniMtu mzima hovyo, fikra zako ni za kijinga tupu
YAi linarutuba sana ukipandikiziwa kwa kisogoni..Huyu ni mteja mzuri wa Mloganzila.
..haiwezekani mwanaume awe na makalio kuzidi kina mama.
Ajifunze kwanza alivyokuwa anamnyanyasa Chongolo wakati yeye ni RC dsmView attachment 2874253
"Usibeze mtu kesho anaweza kuwa boss wako"
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 16,2024 ameongea na Waandishi wa Habari katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar wakati akitoa taarifa ya ziara ya kichama ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mikoa minne ya Unguja January 17-18,2024 ambapo pamoja na mambo mengine amesema CCM huwafundisha Watu kutodharauliana.
Makonda amenukuliwa akisema “Kwenye Chama chetu sisi tunasema uvumilivu ni jambo muhimu sana na kumuheshimu Mtu kwasababu leo unaweza ukambeza Mtu kesho ukamkuta ndio Boss wako, hupaswi kuwa na Adui kwamba Mwanachama mwenzako unamnunia, wewe Mzee wangu ulitegemea kuniona Mimi nimekaa hapa kwenye kiti!?”
“CCM ndio Chama pekee Duniani kinachowafundisha Watu kutokumdharau Mtu kwasababu ametoka kwenye nafasi, ni CCM tu kwasababu inakuonesha kabisa kwamba huyu uliyemdharau leo hii kesho huwezi kujua kwahiyo hata Mimi nafundishwa waliopo nje ambao hawana nafasi kama niliyonayo napaswa kuwaheshimu kwasababu kesho wanaweza kukaa kwenye kiti kama hiki halafu nikahitaji msaada wao wa kunisemea tu ili niende kuwa sehemu fulani na nafasi fulani “
Kuhusu ziara ya Rais Samia Makonda amesema itafanyika katika Mikoa ya Kaskazini Unguja, Kusini Unguja, Mjini na Mkoa wa Magharibi “Bahati tuliyonayo anapotutembelea Mwenyekiti wa Chama ambaye ni Rais wa Nchi hata zile changamoto ambazo tulitamani Rais wa Nchi kuzitatua inakuwa nafasi nzuri ya kuzieleza”
Millard Ayo
Wana ccm wote sioni tofauti yao ki maadiliNyani haoni kundule
Wali wa kyelaBumunda au
Una maana wanamvunjia yai huyu nyami?YAi linarutuba sana ukipandikiziwa kwa kisogoni
MSWALIE MTUME..Huyu ni mteja mzuri wa Mloganzila.
..haiwezekani mwanaume awe na makalio kuzidi kina mama.
Vipi na wewe una msambwanda mkubwa ?Mtu mzima hovyo, fikra zako ni za kijinga tupu
Anakua kimwili tu lkn akili imedumaaDogo amekua, kazi iendelee
Sema na Muro taratibu atakujuzaUna maana wanamvunjia yai huyu nyami?
Pipa na FunikoYote ni majinga tupu
Tenda wema nenda zakoDongo lake mwenyewe maana alimwambia aliyekuwa boss wake Bw. Chongolo awe na adabu kipindi yeye ni RC. Ila Bw. Chongolo hakuwahi kulipa kisasi hata alipopata Ukatibu bado alisema sifa za ujenzi wa ofisi za chama DSM apewe Makonda.
NImecheka kwa nguvu sana, dogo yuko vizuri, anataka mdahalo na genge zima la CHADEMA yeye ni jeshi la mtu mmoja kama komando joniAnakua kimwili tu lkn akili imedumaa
Unataka kusema ndiyo maana alipigwa ban kuingia kwa Trump kipindi kile?..makalio ya Bashite ni ya Uturuki au Mloganzila?
Nakuona Mrs Bashite upo kaziniMrembo unaonaje tukaonana nikakufafanulia vizuri kwa niaba yake? Gharama za kukutana zangu, usihofu Mrembo!
Masaburi..Bashite ndiye mwenye uhitaji wa watu wa aina yako. Nenda ukafaidi makalio.[emoji1787]
Tamaa ya kutaka teuzi mzee..yaani makalio utasema mtu ameinama, kumbe mwenzenu kasimama!!
Hii dunia inakwenda wapi? Kwanini vijana wa kiume wanajiharibu?
Cc Mtoto wa Shule