Uchaguzi 2020 Bango la Magufuli limenishangaza sana

Mfalme juha hajawai kuambiwa ukweli...
Inabidi azungukwe zungukwe kama hivyo...!!
Siku akikaa pembeni ndo utasikia yote...!
ccm si watu wale...
 
Miaka 59 ya UHURU tuna vyote hivi;

Mount Kilimanjaro

Serengeti National Park

Mikumi

Ziwa Victoria, Tanganyika

Makaa ya mawe Songea

Bandari ya DSM

Gesi ya Mtwara

Almasi

Tanzanite

Dhahabu

Bado CCM imeshindwa kumpa mwananchi MAJI ya kunywa safi na salama tu
 
Huu uzi
Uwe printed na kuwekwa kwenye maktaba ya Taifa ili usomwe na vizazi vijavyo kwamba taifa letu liliwahi kupatwa.
 
Hata Serikali ya mjinga wenu imeruhusu ndege za Kenya ziingie Tanzania madege yake yakiwa yamepark Chato miaka na miaka yakingoja Krismas. Lissu ana akili na anajali muda kwa hiyo anasafiri na ndege zinazoruka na kumfikisha alikopanga kufika bila kujali ndege inamilikiwa na nani. Huyo ndo Rais tunayemhitaji!
 
Ndege za private za kukodi Tanzania mbona ziko kibao kwa nini akodi Kenya aache za watanzania ambazo ziko kibao
 
Mungu oyeeeee!🤭
 
Changamoto ni nyingi na huwezi kuzimaliza zote kwa wakati mmoja comrade. Roma haikujengwa kwa usiku mmoja.

Tungeweka nguvu nyingi kuhakikisha wananchi wanapata maji ya safi na salama je husingekuja hapa kusema kuwa baada ya miaka mingi ya uhuru ccm imeshindwa kujenga barabara za rami nchi nzima?

Comrade jaribu kuwa na fikra husiendeshwe na mahaba tu peke yake.
 
maelezo yote bila bango bora hata sijasoma maelezo yako.
 
Duuh...aisee Mkuu kwa huo ushahidi na kwa namna ulivyojenga hoja zako, kupinga andiko lako kunahitaji utafiti wa muda mrefu sn.
 
Lissu kalichanachana hilo bango kwenye mikutano yake kama ulivyofanya hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…