Uchaguzi 2020 Bango la Magufuli limenishangaza sana


Kwa kifupi tu ni hivi: MAGUFULI ANA ELEMENTS ZOTE ZA DIKTETA hivo KATU HAWEZI KUWA MNYENYEKEVU...!!!
Nashauri kama kuna Bango kama hilo Bango basi fyekelea mbali.
 
Umeweza kutaja mapungufu ya Rais Magufuli kwa sababu ni machache yanahesabika.

Lakini umeshindwa kabisa kutaja mazuri yake kwa kuwa ni mengi mno. Huwezi kuyamaliza yote.

Ukisema hakuna mazuri aliyoyafanya, ni dhahiri nitajua unatumia akili mbadala, wala si akili zako.
 

Huwa sipendi hata kumuona ...nyongo huwa inapanda
 
Ameridhia mwenyewe,umesahau kama jamaa ana phD ya unafiki?
 
Ni mnyenyekevu kwa sababu anapiga kazi kwa maendeleo ya raia wote wa kawaida, we unataka unyenyekevu wa kuwachekea chekea watu. Wahenga walisema ukicheka na nyani utavuna mabua
 
Mbele ya kura baba yake kula, kila mtu hupenda kuitwa mnyenyekevu na kila chama hupenda kiongozi wao aonekane mnyenyekevu vinginevyo hakuna kula bin kura.
Ndo maana sisi ni masikini,tunaishi sana maisha ya kuigiza ambayo hayadumu sana ndo maana tunaporudi kwenye uhalisia wetu tunaonekana kituko
 
Kuna wakat utafika mtakapoamka lakin mtakua mmechelewa hata Muamar Gaddafi alijua anafikra kubwa na taifa lake na Afrika kwa ujumla lakni walimuita dikteta wale wasiopenda mafanikio hata siwashangai si mnataka kuona lakini mmefumba macho lazima muingie msikopajua
 
Ulichoandika ni ukweli mtupu, isipokuwa kuzidi kumwongelea na kumchukia ni kujiongezea tu maumivu mana haki na utu havijawahi tamalaki katika kipindi chake chote cha utawala
 
Rubbish....huu ni utopolo...badala ya kuwaambia watanzania habari za maendeleo wa uchumi zao unaleta sijui madudu gani...we unaweza jilinganisha na chaguo la wengi la watanzania wewe...zaidi ya watanzania 90 asilimia wapo nyuma ya Magu begakwabega...upo hapo...nenda kajipange sawasawa
 
Mnaona hatari iliyopo mbele yetu kwa kuendelea na CCM
Hayo ni maamuzi ya watanzania wazalendo..wanaojua maana ya Taifa...hatari kwa vipi jomba wakati Taifa lipo uchumi wa kati.jomba..linakwenda kwa Kasi na mwendokasi wa upepo...soon litaanza kuwa donor country...subiri uone..
 
Na awamu hii akirudi ndiyo mtamfahamu vizuri uchaguzi ndiyo huu hapa kataa kunyanyaswa na kusimangwa hovywo tukutane October 28
 
Mtoa mada hujielewi na kamwe hautajielewa. Kama ni mkristo nenda katubu makanisani na kama ni muislamu nenda kafanye toba inayostahili. Kizazi hiki mmejazwa ujinga vichwani mwenu kiasi hata kureason hutaki kabisa. Ww ni wa kupuuzwa mazima na wanaojielewa. Umekurupuka. Husuda na nia zenu mbaya hazitafanikiwa katika taifa hili linaloongozwa na mtumishi wa Mungu. Kajipangeni upya wafu nyie mnaozikana na wafu wenzenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…