Bank gani inatoa mikopo mpaka milioni 100?

Uzuri na ukubwa yeah. .vina changia katika hilo ndio maana lazima ma officer wa mikopo waje kufanya tathmini nyumba yako kisha wapeleke mrejesho bank '

Hakuna nyumba ambayo haiwezi kuidhinishwa ''Bali mikopo inatofautiana na thamani ya nyumba husika. ... hauwezi kupewa mkopo wa ml.50 kwa nyumba yenye banda la vyemba 3 tu pekee huku likiwa katika location Ya kawaida na nyumba yenyewe pia ina Muone kano chakavu
Uzuri wa nyumba unahusiana vipi kwenye Mikopo? ina maana kuna nyumba ambazo haziwezi kuhidhinishwa na wakopeshaji?
 
Usichukue mkopo ili uanze biashara,chukua ili uendeleze biashara.Na mkopo wako usizidi 25 % ya mtaji wako.
 
Swali je hiyo nyumba kimauzo ina thamani kiasi gani??

Kwamba inawezekana kuuzwa kwa mil60>>>>
 
Nilitaka kusema jambo kama lako, yaani kuna watu humu hawana wanachojua lakini wamo tu wanatoa komenti za ajabu ajabu. kwanini kama mtu huna msaada usikae kimya.

Anyway niende moja kwa moja kumsaidia mtoa mada. Apolinary nenda Aman benk yoyote iliyo karibu nawe u-omba kuonan na branch manager watakusaidia. Hii benk wantoa hadi mikopo ya kufadhiliwa, yaani hata kama hiyo nyumba ingekuwa sio yako ila mwenye nyumba yuko tayari kukudhamini wanakupa mkopo isipokuwa tofauti ya hii benki hawakupi pesa mkononi wanachokifanya kama ni biashara utawaambia ni biashara gani then wao watafanya malipo panapohusika kupata hivyo vitu unavyohitachi alafu wanakukabithi biashara. Uzuri wao unaweza kuwa na nyumba nanjilinji mkopo ukachukulia Dar.
 
Wewe ni Loan officer wa benki?
 
Jaribu ku-google bank kadhaa kwenye mtandao uone ipi inaweza kukupatia mkopo kutokana na Asset uliyonayo;baada ya hapo fika ofisini kwao idara ya mikopo kwa maelezo. Au kama wazo lako unaliamini lina faida.....uza nyumba yako utekeleze ndoto yako;kidogo ulichonacho kitakupa fursa kwenda hatua nyingine.
 
Mkuu unataka kuwauzia benk nyumba Yako kwa milion 50 , hebu weka kwanza picha hiyo nyumba Kama inathamani ya 50M
 
Sawa mkuu asante kwa mchango wako pia
 
Sawa mkuu asante kwa mchango wako pia
Ndio hivyo mkuu,kukopeshwa 50M kwa mtu asiyekuwa na 'cashflow' inayoeleweka ni ngumu...ndio maana tunashauriwa tuanze kidogokidogo baadaye ndio tuikuze biashara. Wazo lingine ambalo ni gumu pia,ungeweza kuweka mchanganuo wa biashara unayotaka kufanya...ili wadau waupime ikiwezekana wachangie kwa mfumo wa hisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…