Bank of Tanzania has a RESERVE of $5 Billion.

Hiyo part ya pili, inayosema ili kuleta maendeleo, hiyo umeiingiza mwenyewe katikati ya mjadala. Swali original nilishacopy na kukuonyesha, labda tu unataka kuyeyusha..

Mzee, sijui ni nini ambacho hajakielewa licha ya mimi kukielezea mara kadhaa sasa. Huu mjadala wewe umeuingilia kati. Swali langu la msingi sikulielekeza kwako, nilimuuliza mtu aliyekuja na hoja kama ya Juma Nkamia. Hapo ndipo hilo la kuleta maendeleo, lilipotokea. Ni nini usichoelewa hapa?

Na nimekueleza kabisa, niliuliza na kujadili hili kwa ku-reflect mjadala ulioanzishwa na Nkamia, ambaye ali-cite Rwanda ya Kagame kama mfano wa Rais aliyejiongezea muda akiwa madarakani ili atimize ajenda zake za maendeleo.


Ninachokiongelea mimi ni hilo la kujiongezea muda continuously. Ndiyo maana hoja yako ya Erdogan naikataa. Yeye hakujiongezea muda ili aendelee kuwa PM. Alibadili Katiba na kufanya urais uwe na nguvu zaidi ya uPM, kisha akagombea urais na waturuki wakamchagua kwa ridhaa yao.



Hapa ni kama low-key unakubaliana na hoja yangu. Kwamba msingi wa mtu kutaka kuendelea kuwa madarakani (continuously or not) ni power mongering. Na siyo ati ili atimize ajenda zake za maendeleo. Hili ndilo nisilokubaliana na hoja ya Nkamia. That's why nikauliza nilivyouliza: nchi iliyoendelea kwa kiongozi kujiongezea muda ili atimize ajenda za maendeleo. You clearly say kwamba Erdogan is after madaraka. This is what Magufuli is up for pia.

Yaani kama unaamini hayo, basi utakuwa unaamini kwenye shadow laws kama zilizomuweka Nkurunzinza madarakani, au Museveni. They are just some legal manipulations..

Siamini katika hayo, ndiyo maana sikubaliana na hoja ya mtu kuongezewa muda ili alete maendeleo. Anaongezewa muda ili aendelee kuwa na madaraka tu; ambayo aidha yatampa nguvu za kumlinda dhidi ya maovu aliyoyafanya, au nguvu za kuendelea kufanya maovu zaidi.


It's that combination of power and time that dignifies my arguments and mystifies yours. Nikuelewe?
Hell no.

Sihitaji unielewe. Kunielewa ni chaguo lako. Hunielewe, usinielewe doesn't bother me at all.
 
E.U is not crap my brother. Currently, i am living in an E.U country. Ndio, Marekani imeendelea kushinda E.U lakini hio haimaanishi uongee na madharau kiasi hicho. Remember we all are black nigers na Wamarekani na Europeans, they look at us like pieces of sh*t ust because of our black skin. Hata kama una Phd, hio ni useless na mzungu atakuona ukiwa chini yake hata kama hajawahi kanyaga shule. So don't forget, you are an African Imigrant and Tanzania is your country, just like Kenya is mine. Marekani au Europe ni kwa wenyewe hata kama una citizenship ya huko. You will never belong, and i am speaking from experience. East or west home is best. Kwa hivyo comparing Marekani na Europe, na ni nchi za wenyewe, sioni kama ni jambo la busara. Anyway, it's just my opinion, and my opinion doesn,t matter, so don't worry about it.
 
No I'm not. My opinion stands.
 
You're full of shit, can't waste me time enlightening you, because the insults you've spewed on Magufuli tells what kind of a maniac hater towards him, you're. Jiandae na his landslide win in 2020, so you can go hang your shitty self
 
You're full of shit, can't waste me time enlightening you, because the insults you've spewed on Magufuli tells what kind of a maniac hater towards him, you're. Jiandae na his landslide win in 2020, so you can go hang your shitty self

You, enlightening me?!? What a joke!!!

It doesn't mean shit to me whether he wins or not. To me, he is still and will always be a crook, and intellectually inept sadistic charlie. Yeah, he will go down the history as a cuckoo who was ruled Tanzania.

Vipi vumbi na jua huko? Endelea kupauka kwa kujifanya pro-********, wakati yeye na posse wake wanakula kuku kwa mrija.
 
Eti nakula vumbi, as if u know me. Sadistic shitty people like you, mnajulikanaga na vikauli mavi mnavyoongea, uzuri mpo kila mahali, y'all need enlightenment. Yesu, Mungu, mtume Mohamed wanachukiwa, sembuse tingatinga, your hate changes nothing.
Majority watu kama nyinyi, lazima reforms zake zimewagusa na kuwaumiza.
2020 ndio utajua haters mpo finyu, fvck 2020. Shuhudia 26042018
 

Kujua mtu mla vumbi siyo lazima nikujue in person. Ninakuja kupitia maandishi yako, DUH!!!

Reforms hizi za kufanya mambo gizani (kujitoa OGP), za kutotii katiba na sheria (kufanya matumizi ya pesa bila idhini ya Bunge, kutofuata amri ya Mahakama n.k.) na za kuua uchumi wa nchi kwa ghiliba zake na uroho wa korosho wake, hakika kila aliye timamu atazichukia. Okay, zinaweza zikawa hazikugusi wewe, pengine kazi yako ni ku-wipe his tail end. Lakini zinawagusa na kuwaumiza majority, ambao hawana kwenye genge la kifisadi na kiuaji la ********.

Najua, wewe kama programmed robot, huwezi kuelewa niliyokwambia. I'm thus not expecting you kunielewa, let alone kukubali kwamba Magufuli is a phony.
 
bu nitajie nchi moja tu, ambayo kiongozi kakaa madarakani kwa muda mrefu (kwa kubadili katiba na kujiongezea muda) na nchi hiyo imeendelea?
Hii ni post yako ya kwanza kabisa kwenye huu uzi. Na ndiyo focus ya jibu langu.
Hayo mambo ya Nkamia, Rwanda na ili alete maendeleo ni muendelezo wa miyeyusho.
But I know you've learnt something. I can tell.
 
Hii ni post yako ya kwanza kabisa kwenye huu uzi. Na ndiyo focus ya jibu langu.
Hayo mambo ya Nkamia, Rwanda na ili alete maendeleo ni muendelezo wa miyeyusho..

Kwa sababu wewe ni kichwa ngumu, ndiyo maana umefikiro hivyo.

Nimesema wazi kabisa uliponiuliza basis na fundamentals za swali langu. Ni broader picture ya mjadala wa Magufuli kuongezewa muda.

But I know you've learnt something. I can tell.

Of course, it is obvious nimejifunza ulivyo kichwa ngumu, kuelewa.

Kwa sababu hata jibu lako la Erdogan halijajibu swali langu la msingi, na nimeshaeleza ni kivipi hujajibu.
 
Of course, it is obvious nimejifunza ulivyo kichwa ngumu, kuelewa.

Kwa sababu hata jibu lako la Erdogan halijajibu swali langu la msingi, na nimeshaeleza ni kivipi hujajibu.
Wewe sasa ni kichwa panzi. Lini Erdogan aliacha kuwa kiongozi (labda nitumie neon mtawala) wa Uturuki? Unaongea kama dogo wa form six HGL eti Head of State/government. Think practically.
The dude has been leading Turkey since 2003. Everything political has and is still centered on him and political forecasters have him leading till 2029.

Wewe unaanza kunipa blah blah za Prime Minister/President. There's a point in life, theories become impractical. Erdogan has never been ceremonial, ever.
 

Guyz get a room please.
 

Sawa, kichwa ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…