Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Hiyo part ya pili, inayosema ili kuleta maendeleo, hiyo umeiingiza mwenyewe katikati ya mjadala. Swali original nilishacopy na kukuonyesha, labda tu unataka kuyeyusha..
Mzee, sijui ni nini ambacho hajakielewa licha ya mimi kukielezea mara kadhaa sasa. Huu mjadala wewe umeuingilia kati. Swali langu la msingi sikulielekeza kwako, nilimuuliza mtu aliyekuja na hoja kama ya Juma Nkamia. Hapo ndipo hilo la kuleta maendeleo, lilipotokea. Ni nini usichoelewa hapa?
Na nimekueleza kabisa, niliuliza na kujadili hili kwa ku-reflect mjadala ulioanzishwa na Nkamia, ambaye ali-cite Rwanda ya Kagame kama mfano wa Rais aliyejiongezea muda akiwa madarakani ili atimize ajenda zake za maendeleo.
Erdogan amejiongezea muda akiwa madarakani. There are two components.
1. Muda (time)
Hii inamaanisha uwepo wako madarakani continuously even if you have to create a façade for sometime ili kufkia lengo hilo. Unaweza pia ku-step out for a minute na baadae kuingia tena as long as bado upo hai..
Ninachokiongelea mimi ni hilo la kujiongezea muda continuously. Ndiyo maana hoja yako ya Erdogan naikataa. Yeye hakujiongezea muda ili aendelee kuwa PM. Alibadili Katiba na kufanya urais uwe na nguvu zaidi ya uPM, kisha akagombea urais na waturuki wakamchagua kwa ridhaa yao.
2. Madaraka (power)
Constitutionally or not. Nyerere alipoendelea kuwa mwenyekiti wa CCM ilimaanisha nini? Ilimaanisha kuwa bado ni powerful na hajamwachia Mwinyi urais totally na angeweza kumuondo kama angezingua.
Putin alikuwa Waziri mkuu under Medvedev, just to buy time na kujiongezea muda constitutionally. Just to get a flimsy legal basis - ambazo sidhani kama mtu kama wewe unaziamini, let alone use them for arguments - for his power grab. He was still the most powerful na Erdogan is still the most powerful. Who cares about the Turkish PM? Nani anamjua? You really think Erdogan has stepped down? Au Putin aliachia madaraka?.
Hapa ni kama low-key unakubaliana na hoja yangu. Kwamba msingi wa mtu kutaka kuendelea kuwa madarakani (continuously or not) ni power mongering. Na siyo ati ili atimize ajenda zake za maendeleo. Hili ndilo nisilokubaliana na hoja ya Nkamia. That's why nikauliza nilivyouliza: nchi iliyoendelea kwa kiongozi kujiongezea muda ili atimize ajenda za maendeleo. You clearly say kwamba Erdogan is after madaraka. This is what Magufuli is up for pia.
Yaani kama unaamini hayo, basi utakuwa unaamini kwenye shadow laws kama zilizomuweka Nkurunzinza madarakani, au Museveni. They are just some legal manipulations..
Siamini katika hayo, ndiyo maana sikubaliana na hoja ya mtu kuongezewa muda ili alete maendeleo. Anaongezewa muda ili aendelee kuwa na madaraka tu; ambayo aidha yatampa nguvu za kumlinda dhidi ya maovu aliyoyafanya, au nguvu za kuendelea kufanya maovu zaidi.
It's that combination of power and time that dignifies my arguments and mystifies yours. Nikuelewe?
Hell no.
Sihitaji unielewe. Kunielewa ni chaguo lako. Hunielewe, usinielewe doesn't bother me at all.