Prince Dos Santos
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 1,047
- 1,321
Where the https://jamii.app/JFUserGuide ! Did you get this list from Bro ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Where the https://jamii.app/JFUserGuide ! Did you get this list from Bro ?
Lakini hoja yangu ni kuhusu oligarchs wanaomiliki uchumi wa Urusi. Ndiyo maana nilisema, kwenye uchumi na demokrasia hakuna la kujifunza Urusi.You can't be serious.
There's (In)equality adjusted HDI index na hiyo ndiyo niliyo-refer. Bado Russia is better than Turkey in (In)equality adjusted HDI index.
Halafu nadhani huifahamu vizuri Mmarekani. I was educated in the States, I have lived in New York, DC, St. Louis and now in a small town. Life is way better in small towns and in general US has a very very high standard of living compared to almost all non scandnavian Europe
Lakini hoja yangu ni kuhusu oligarchs wanaomiliki uchumi wa Urusi. Ndiyo maana nilisema, kwenye uchumi na demokrasia hakuna la kujifunza Urusi.
Hilo na Uturuki Vs. nimeshaliacha, naona unalikomalia kweli. None of the two are worthy examples kwa Tanzania.
Hapa napo unaleta ubishi. Nimesema mara kadhaa kwamba nchi kama Australia, New Zealand, Uswisi, Ujerumani, Nordic countries, na Uholanzi have better standards of living than US. Hivi ndivyo nilivyosema. Sasa sijui hizo "almost all non scandnavian Europe" unayoisema ni ipi? Ukraine? Poland? Czech? Bosnia and Herzegovina? Georgia?
Kweli siifahamu Marekani vizuri. Ila kwa kipindi nilichokaa huko (Athens, GA), (Lexington, KY) na (Cullman, AL) nimepata kujifunza nilichokisema. Na uzuri, naishi Central Europe, ambapo I have travelled across Switzerland, Netherlands, Germany, Sweden, Denmark and Norway. So, I can comparatively make my point. It is waaaaay much better to live in Central Europe kuliko huko Marekani. Here, I don't need even to own a car. But, huko kwenye miji midogo Marekani, owning a car is a necessity. Education is for free, and a really good one. Marekani ili kwenda best universities lazima uwe na pesa, ufanye kazi kama mtumwa ama upate scholarship. Here, I'm never worried about rampage killers and wackos who own guns. I'm even not worried about being shot because I have a 'suspect tag' of being a black man.
And these countries ndizo zinafaa kuigwa, na wala siyo Marekani, Urusi au Uturuki. Huu ni mwisho wangu
Hapa napo unaleta ubishi. Nimesema mara kadhaa kwamba nchi kama Australia, New Zealand, Uswisi, Ujerumani, Nordic countries, na Uholanzi have better standards of living than US. Hivi ndivyo nilivyosema. Sasa sijui hizo "almost all non scandnavian Europe" unayoisema ni ipi? Ukraine? Poland? Czech? Bosnia and Herzegovina? Georgia?
Kweli siifahamu Marekani vizuri. Ila kwa kipindi nilichokaa huko (Athens, GA), (Lexington, KY) na (Cullman, AL) nimepata kujifunza nilichokisema. Na uzuri, naishi Central Europe, ambapo I have travelled across Switzerland, Netherlands, Germany, Sweden, Denmark and Norway. So, I can comparatively make my point. It is waaaaay much better to live in Central Europe kuliko huko Marekani. Here, I don't need even to own a car. But, huko kwenye miji midogo Marekani, owning a car is a necessity. Education is for free, and a really good one. Marekani ili kwenda best universities lazima uwe na pesa, ufanye kazi kama mtumwa ama upate scholarship. Here, I'm never worried about rampage killers and wackos who own guns. I'm even not worried about being shot because I have a 'suspect tag' of being a black man.
And these countries ndizo zinafaa kuigwa, na wala siyo Marekani, Urusi au Uturuki. Huu ni mwisho wangu.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ume panic sana mkuuKuja uniowe. Niko tayari shoga mkubwa wewe
Hoja yako haikuwa kuhusu Oligarchs, ulitumia oligarchs ku - cement hoja ya income inequality. There are measures of income inequality na bado Russia ina-perform better. !
Nadhani hoja ya Russia kuwa non. OECD kwa hiyo kuwa nchi ya hovyo umeiacha kwa sababu haina maana, it's bogus, bologna!!
Marekani ina best HDI than England, France, Sweden, Finland, Belgium,Luxembourg, Austria, New Zealand, Italy, Spain. Na unapozungumzia owning a car, unazidi ku-prove jinsi usivyoelewa. !
marekani, owning a car is like owning a an underwear. Matter of fact there are shoes that waay expensive than cars. I'm going through my 16th car (I only own one, don't get it twisted). Everybody in my town over the age of 16 has a car.!
Marekani, living in projects is a sign of poverty. Europe is full of projects, almost 80% lives in flats, while in US house ownership is a standard. !
Ili kwenda best Universities marekani inabidi uwe na akili, and you will be straight. There are thousands of Europeans, and I mean thousands of them studying in State Universities (vya serikali) in US. Most State universities in US outdo a lot of Universities in Europe.!
Sijui ulipoishi ila States kama huna pesa ya Shule unapewa grant, automatically, low interest Student loans na scholarship zipo bwerere kama nondo zinapanda. !
EU is crap!
US mtu kuwa na gari ni jambo la kawaida mno yaani! Siyo big deal kabisa.
Ushawahi kwa mfano kutembelea high school yoyote ile wakati madarasa yakiwa in session? Angalia kwenye parking lot uone gari zilivyojaa! Hususan angalia upande wa student parking!?
Na best universities kwa Marekani ni zipi kwa mfano? Harvard na Yale tu au? GA Tech je? University of Iowa je??
Umesoma chuo Marekani? Mimi nimesoma vyuo Marekani na sikuona wanafunzi waliokuwa wanafanya kazi kama watumwa!
Sana sana nilichoona ni wanafunzi wachache tu waliokuwa na ‘work-study’ ya kujipatia vijisenti vya hapa na pale kununulia bia na chicken wings.?
Halafu, kuna nchi gani inayoishinda Marekani kwenye kupokea immigrants wengi toka pembe zote za dunia??
Marekani mimi nimeshakutana na wahamiaji wengi tu toka huko Scandinavia unakosema kuna viwango bora vya maisha!
kama huko watokako maisha ni bora zaidi kwa nini wanahamia Marekani?
You too missed the point. Nilisema hapa ninapoishi sasa sihitaji kuwa na gari, ila Marekani kuwa na gari ni NECESSITY. Na bottom line ni kwamba, nilitaka kuonyesha kuwa hapa public transportation ni better, kiasi kwamba mtu huhitaji kuwa na gari ili u-commute between home and workplace, au popote pale. Kwani kila mahala pako connected na reliable and timely public transport.
Sielewi ni kivipi mmeona ati nimemaanisha kumiliki gari Marekani ni big deal. Siyo big deal ni muhimu kama kuwa na chupi, kama alivyosema huyo jamaa. Hapa nilipo siyo lazima, yaani siyo necessity. Tena unakuta grown ups kabisa hata kuendesha gari hajui! Na ukimshangaa, naye anakushangaa!!
Yes, Ivy League varsities and the like. Ni gharama kusoma huko, na very competitive.
UGA (Georgia) na UK (Kentucky). Na niliona wanafunzi waliokuwa hawana scholarships au financial assistantship yoyote, waki-hustle kufanya kazi. Of course as teenagers, unatafuta pesa ya kunywea bia, kupendeza na kuwa na a cool car.
Aisee! Hili nalo una-brag? Geographically, Marekani itapokea wahamiaji wengi kwani ipo karibu na nchi nyingi zilizo maskini. Immigrants wengi wanatoka Amerika ya Kusini. Kwa Central Europe, wahamiaji kutoka nchi maskini haswa za Afrika, ni hussle mno kufika Ulaya, sisemi Marekani hakuna hussle kufika, ila ukaribu na nchi maskini kunafanya wahamiaji kuwa daring ku-take their chances. Pia, hapa ninapokaa kuna tight immigration laws, na border control siyo mchezo aisee. Na ukumbe nchi za central Europe ni ndogo ndogo kwa saizi, hivyo control ya watu kutoka na kuingia ni rahisi zaidi. Hivyo, Marekani kuwa na wahamiaji wengi, siyo hoja hapa.
Hao unaowaita 'wahamiaji' kutoka Scandnavia, wapo hapo kama illegal immigrants? Wamekuja kubahatisha maisha, ama wapo kikazi? Can you put a little bit context kwa ulichokisema.
Kwa sababu, kama wapo kikazi, nami nimekutana na wamarekani wengi hapa nilipo, wanafanya kazi, na ku-make shekels ambazo hawawezi kupata Marekani. Je, kama maisha ni bora Marekani kwanini wanahamia hapa kufanya kazi?
Achana na hivyo vibwagizo. Mfano mzuri una maana gani? Kwamba katika dunia hii, Urusi haiesabiwi kama nchi iliyoendelea au? Bado unarukaruka na hueleweki unaposema nchi iliyoendelea. Hebu rudia swali lako la kwanza ili uone unavyobadilisha hoja kila kukicha.Ndiyo, nimesema tena juu ya oligarchs kusisitiza kwamba, sidhani kama Urusi ni mfano mzuri kwa Tanzania. Swali langu la msingi lilikuwa kutajiwa nchi ambayo Rais aliyekuwa madarakani akajiongezea muda ati kwa hoja kwamba apate muda mrefu wa kuleta maendeleo. Hili mpaka sasa sijajibiwa. Mifano yako ya Urusi na Uturuki haijibu swali langu. Hakuna kwenye nchi ambako RAIS kajiongezea muda. Mtu kuwa PM, kisha kwenda kugombea Urais (na kuwa Rais aliye head of state) haijibu swali langu.
Haya ya OECD na oligarchs ni vibwagizo tu. Swali langu linabaki pale pale.
Kama hoja ni kufanya power mongering, sawa. Na hivyo ndivyo huyu kituko ******** anataka kufanya. Lakini, angalia nchi zote za Kiafrika ambazo marais wao waliojiongezea muda wa kukaa madarakani, na unitajie any successful case. I bet you 500K for this.
Really? Kwa hoja kwamba apate muda mrefu wa kuleta maendeleo? Hii part imekujaje? Unafikiri, kwa mfano Erdogan alitoa hoja gani? Maana wewe umesema angalau Turkey imeendelea ila Erdogan hakujiongezea muda, wewe unafikiri amebadilisha katiba ili afanye nini? Umeshindwa kueleza hilo sasa unahamisha goli na kusema Turkey is poor. Hata tuseme kuwa everything will go perfect, zero corruption, 100% democracy. Bado itatuchukua decades kufikia maendeleo ya Turkey na Urusi.nchi ambayo Rais aliyekuwa madarakani akajiongezea muda ati kwa hoja kwamba apate muda mrefu wa kuleta maendeleo. Hili mpaka sasa sijajibiwa
That's is just a perception bruv. Marekani bado kuna ardhi (sijui kama unafahamu Marekani ni kubwa kuliko Central Europe kwa land size?). Huku maendeleo ya nyumba ni vertical, kwani spacing ni kidogo. Ila asikudanganye mtu, (labda kwa UK, France na Belgium) lakini hapa ninapoishi standards za nyumba ni first class. Na yes, ninaishi kwenye flats. 3.5 rooms, na ninalipa takribani 2500 US$. Hivyo usifikiri kukaa kweye flats ndiyo kama kuishi kwenye housing projects za South Jamaica. Hapa a mere studio ina-cost almost 900US$. Sasa rent ninalipa mimi, kwa huko Marekani si ninapata nyumba nzima kabisa tena kubwa?
Yes, people here live in flats, and are very happy about that.
Hizo concepts hazina mashiko, utaondoka chuoni na student loans na utazilipa, siyo big deal labda ufanye poor choices. Pell grant, ni grant ambayo almost 90% ya wanafunzi wasio na uwezo wanapata na ukiamua kwenda vyuo vya kawaida sana, hata community colleges na ku-transfer in two years unaweza kusoma vizuri based on government grants. Kuna community colleges huku zina Wajapan, wajerumani kibao. Elimu ya States is favoured na Europeans wengi tu. Wanatoka Europe na kujilipia vyuo huku na kuacha vyuo vyao huko ulaya. There are thousands of them, ImMimi sijaongelea suala la ubora wa vyuo. Hoja yangu ilikuwa ni gharama za kusoma chuo kikuu. Watu wanasoma kwa mikopo, ambayo wataendelea kuihudumia kwa muda mrefu watakapomaliza chuo. Hapa elimu ni bure, na ndiyo ni world class: inaweza kuwa siyo kwenye ubora wa Harvard et al., lakini elimu ni nzuri kabisa.
Tatizo la gharama ya elimu kwenye vyuo vikuu ni kubwa huko. At least this is what I saw and heard nilipokuwa huko.
Hao wanaokuja huko ni wanakuja kwa choices, na kuweza kuwa mobile (mobility is an added advantage kwa wale wenye lengo la kubaki kwenye academia na research). Huwezi kufananisha na watu kutoka China, India n.k.., ambao wanakuja Marekani siyo kwa choice ila lazima, kwani kwao hakuna vyuo bora
Inamaana hukuona nilivyoandika nilipoishi? Athens, Lexington na Cullman, duh!!
Kwa hiyo African Americans na Latinos, nondo hazipandi ama? Maana asilimia yao kwenye elimu ya juu ni kidogo mno ukilinganisha na idadi yao.
Kwa hiyo wazazi wanapoamua ku-spend proportions of their earnings kwenye savings kwa ajili ya elimu za watoto wao, hawajui kuwa kama kuna grant na scholarships? Umeeleza as if ni rahisi na given kupata hayo unayoyasema.
I won't go this low kusema EU is crap au Marekani is crap, as long as ninatoka kwenye a shithole country. EU is crap kuliko Tanzania?
Hoja yangu ya msingi bado ipo pale pale.
I think you are the one who missed the point.
The point there was easy vehicle ownership in America offsets the relatively poor mass transit system especially in small towns.?
Wamarekani wanaolipa college fees out of pocket sidhani kama ni wengi. Asilimia kubwa sana wanapata mikopo na misaada mingineyo. Na hapa sibahatishi. Najua ninachokiongelea.?
Again, seems like you’ve missed the point! Hapo nilikuwa naonyesha ni jinsi gani Marekani ilivyo a popular destination kwa immigrants.....na hiyo ni tokea zamani!! Siyo sasa hivi tu!
Kungekuwa ni kubaya au hakuna mpango, immigrants wasingeendelea kwenda kwa wingi hivyo.?
Achana na hivyo vibwagizo. Mfano mzuri una maana gani? Kwamba katika dunia hii, Urusi haiesabiwi kama nchi iliyoendelea au? Bado unarukaruka na hueleweki unaposema nchi iliyoendelea. Hebu rudia swali lako la kwanza ili uone unavyobadilisha hoja kila kukicha.
Really? Kwa hoja kwamba apate muda mrefu wa kuleta maendeleo? Hii part imekujaje? Unafikiri, kwa mfano Erdogan alitoa hoja gani? Maana wewe umesema angalau Turkey imeendelea ila Erdogan hakujiongezea muda, wewe unafikiri amebadilisha katiba ili afanye nini?
Umeshindwa kueleza hilo sasa unahamisha goli na kusema Turkey is poor. Hata tuseme kuwa everything will go perfect, zero corruption, 100% democracy. Bado itatuchukua decades kufikia maendeleo ya Turkey na Urusi.
. Kusema kuwa hakuna ardhi, well ... why are you comparing a crowded country with a spacious one? Ni sawa na kusema umenipiga kwa sababu una msuli, so? Get some then or..
. Kuna community colleges huku zina Wajapan, wajerumani kibao. Elimu ya States is favoured na Europeans wengi tu. Wanatoka Europe na kujilipia vyuo huku na kuacha vyuo vyao huko ulaya. There are thousands of them,
African Americans and Latinos hawajali Elimu kama races nyingine, trust me on this. You are talking about traumatized ethnic groups ambazo hazina solution from within and largely dependent of solutions from outside their communities. African Americans most of them will perform the same if they were given that free European education. It's more than what you think.
Compared to US? EU is crap! Some of EU countries still have villages. They still have places without internal plumbing. You talk about Central Europe, which country? Cos that region has some backward contries compared to US, be specific and give us like Four examples. But as a region? Nah bruh.
Hoja yako haipo palepale, umejibiwa na umeshindwa kukubali. Kimsingi, ume-shift hoja like 10 times na zote you got'em wrong. Let it go!
kumbe Ethiopia nayo ni LDC??na wamewazidi Kenya kiuchumi??basi kumbe kuwa LDC sio big deal??
Nkakujibu Erdogan.Ebu nitajie nchi moja tu, ambayo kiongozi kakaa madarakani kwa muda mrefu (kwa kubadili katiba na kujiongezea muda) na nchi hiyo imeendelea?
Nkakujibu Erdogan.
We vipi??Erdogan hajiongezea muda akiwa Rais. Hili hulielewi? Alikuwa PM aliye head of government. Akaongoza harakati za kufanya rais awe na nguvu (head of state and government) na siyo ceremonial. Akagombea nafasi ya urais. Sasa alipobadili Katiba ili ajiongezee muda wa urais ni wapi hapo? Au unataka kusema alijiongezea muda alivyokuwa PM, ili aendelee kuwa PM? Something that didn't happen.
Sasa waziri mkuu Merkel na Trump si ndiyo head of States? Kwani kutaskuwa na tofauti kati ya Magufuli na Merkel? Si wote ni head of States. Kwa sababu ya jina tu la Rais, ndiyo hoja yako?.
Yaani muda wote huo tuliopoteza ni kwa sababu Erdogan hakuwa Rais bali alikuwa "Head of State"? Wewe ndugu yangu haupo serious unafanya matani labda.
Kwani hao kina Kagame, Museveni, Nguesso et al hawatumii bunge kupitisha uozo wao? Erdogan naye si alitumia Bunge?
Do yo want to tell me ukiwa rais, utatumia presidential order kubadili katiba? Where they do that at?
Fundamentals za hoja yako hasa ni nini? Labda niambie hilo, maana sikuelewi kabisa jinsi unavyo - debate. Tungekuwa moderated sidhani kama unge-last 5 minutes. What is the basis of your question?
President as President Name even if it's ceremonial or President as the "Head of State" (Non royal). Is it the nomenclature that you are clinging on now?
Pheew!
Sasa waziri mkuu Merkel na Trump si ndiyo head of States? Kwani kutaskuwa na tofauti kati ya Magufuli na Merkel? Si wote ni head of States. Kwa sababu ya jina tu la Rais, ndiyo hoja yako?.
Yaani muda wote huo tuliopoteza ni kwa sababu Erdogan hakuwa Rais bali alikuwa "Head of State"? Wewe ndugu yangu haupo serious unafanya matani labda.
Kwani hao kina Kagame, Museveni, Nguesso et al hawatumii bunge kupitisha uozo wao? Erdogan naye si alitumia Bunge?
Do yo want to tell me ukiwa rais, utatumia presidential order kubadili katiba? Where they do that at?
Fundamentals za hoja yako hasa ni nini? Labda niambie hilo, maana sikuelewi kabisa jinsi unavyo - debate. Tungekuwa moderated sidhani kama unge-last 5 minutes. What is the basis of your question?
President as President Name even if it's ceremonial or President as the "Head of State" (Non royal). Is it the nomenclature that you are clinging on now?
Pheew!
Erdogan alibadilisha katiba ili aendelee kuwa madarakani. Maana yake aendelee kuiongoza Turkey. Hakumaanisha ili Turkey iwe more democratic, NO! aAlimaanisha ili aendelee yeye mwenyewe kuitawala Turkey. Erdogan will end up being the Longest serving leader of Modern Turkey na hilo ndiyo lengo.Sasa wewe unapotelea mfano wa Erdogan kama kiongozi aliyejiongezea muda wa kutawala akiwa madarakani, sijui unachokijibu ni nini!
Hapa na nchi nyingi za central Europe, serikali zipo very conscious na masuala ya uchafuzi wa mazingira. Hivyo emission standards zipo high sana kwenye vyombo vya usafiri na hata home appliances. Hivyo, ndiyo maana serikali zimewekeza sana kwenye mass transport systems, na kwa namna fulani kuweka a lot of disincentives za umiliki binafsi wa magari. Kuanzia kwenye driving licence tu, ni as if it is a privilege kumiliki leseni ya gari. It is ridiculously expensive kufanya driving test (written exams, physical tests n.k.), na mara nyingi watu wanafelishwa intentionally kwenye first trial. Ukija kwenye parking space, napo ni aghali balaa.
Wanafanya hivi kwa kuwa wanajua kumiliki gari isn't a necessity as such. Ukihitaji sana gari kuna mobility car sharing, karibu maeneo mengi.
Ndiyo, hapo ndipo hoja yangu ilipokuwa. Hapa elimu ni bora,
Uswisi ada ni kama 600-800US$ per semester.
Ni kama bure tu.
Lakini Marekani na Uingereza sasa, elimu ya juu ni gharama sana. Bila mkopo, scholarship ama rich parents huwezi kumudu. Najua jinsi gani mzigo wa mkopo wa chuo unavyowasumbua wahitimu huko. Hapa hakuna kitu kama hicho.
Kwa legal immigrants, hawa wapo kujaribu au ku-explore what Marekani has for them.
Hayo ndo mambo nisiyoyapenda. Kwa nini serikali iniamulie mimi kuhusu kilicho na ulazima kwangu? Mambo ya socialism hayo.
Kwa hiyo elimu ya US siyo bora au?
Tax rate ya huko ukilinganisha na ya US ikoje? Majuzi hapa nilikuwa na mgeni toka Luxembourg na aliniambia hata huko elimu ni sawa na bure ila kodi zake ziko juu sana. Anakatwa kodi karibu nusu nzima ya kipato chake.